Alinipeleka nyumbani kwao kama hausigel sasa anaoa mke mwingine

Hivi ujinga kama huu wapo wanaoufanya au kuna kashiba kahawa akaamua kutunga tu
Kweli anakuja kwao na rafiki na mzazi hakuna wala baba mdogo
La pili mila zipi hizo zinakubali washikaji?
Anapelekwa kama hg na akakubali kisa wataoana
Hii chumvi imezidi sasa
Ila duniani mmh
 
Ujinga wako huo, hujioni kama ni mtu mzima sana kufanya michezo hiyo ya patapotea?
 
Binti wa 27 ndo nilipoishia kusoma!!,,,yakupasa ukubali kuwa umri umekutupa mkono
 
Wanawake bhana......
 
We nae umezingua.
Ulikosea ulipokubali kuacha kazi na kutambulishwa kama housegirl.
Ila ngojea,au jamaa anataka kuku suprise!??
Isije ikawa wazee wamefika kwenu kimya kimya kumbe mchumba mwenyewe ni wewe huyo huyo!?
Kama ni hivyo,Mbona ashaambiwa asepe chap?.
 
Wewe ni fala nikiwa na dada kama wewe ni makofi kila nikikuona mpaka ukate undugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…