Miezi kadhaa nilimtaka mwanamke jirani tu na ninapoishi, licha ya kunikubalia lakini chenga zikawa nyingi mnooo mpaka nikakata tamaa.
Lakini siyo siri jumla ya thamani ya vizinga alivyonipiga ni kama laki 270 lakini sikupata penzi.
Siku niliyoachana naye ni siku tumeenda hotel baada ya chakula cha jioni alisepa bila taarifa.
Usiku huo akaniweka blacklist, nikaamua kupotezea.
Ni miezi 8 tangu niache kufuatilia,nashangaa ananitext whasap na kunisalimia, naitikia vizuri lakini anaanza kuniulizia kama nimeishamsaliti nimemchukua mwingine.
Namjibu hamna ananiambia alikuwa ananichunguza sasa ameamini mimi ni mwanaume bora nafaa kuwa naye" Napata mshtuko.
Je huyo mwanamke anaandaa mazingira mapya ya kunipiga vizinga au ana mishe nyingine kwangu?