Alinipiga mizinga nikaambulia zero, eti sasa anaanza kunitafuta

Hujui kulipa kisasi kitakatifu?
Lipa kisasi cha mapenzi...hii ni kwa wanaume wenye akili pekee wanaweza
Miezi kadhaa nilimtaka mwanamke jirani tu na ninapoishi,licha ya kunikubalia lakini chenga zikawa nyingi mnooo mpaka nikakata tamaa

Lakini siyo siri jumla ya thamani ya vizinga alivyonipiga ni kama laki 270 lakini sikupata penzi

Siku niliyoachana naye ni siku tumeenda hotel baada ya chakula cha jioni alisepa bila taarifa

Usiku huo akaniweka blacklist, nikaamua kupotezea

Ni miezi 8 tangu niache kufuatilia,nashangaa ananitext whasap na kunisalimia ,naitikia vizuri lakini anaanza kuniulizia kama nimeishamsaliti nimemchukua mwingine

Namjibu hamna 'ananiambia alikuwa ananichunguza sasa ameamini mimi ni mwanaume bora nafaa kuwa naye" Napata mshtuko

Je huyo mwanamke anaandaa mazingira mapya ya kunipiga vizinga au ana mishe nyingine kwangu?
 
Kuna sides 2 hapo, anakuambia ukweli, au anakudanganya, maana kwa dunia ya saivi mdada kupata mwanaume wa kutoa ela yote iyo na mzigo hajala si rahisi Cosovo
 
Miezi kadhaa nilimtaka mwanamke jirani tu na ninapoishi,licha ya kunikubalia lakini chenga zikawa nyingi mnooo mpaka nikakata tamaa

Lakini siyo siri jumla ya thamani ya vizinga alivyonipiga ni kama laki 270 lakini sikupata penzi

Siku niliyoachana naye ni siku tumeenda hotel baada ya chakula cha jioni alisepa bila taarifa

Usiku huo akaniweka blacklist, nikaamua kupotezea

Ni miezi 8 tangu niache kufuatilia,nashangaa ananitext whasap na kunisalimia ,naitikia vizuri lakini anaanza kuniulizia kama nimeishamsaliti nimemchukua mwingine

Namjibu hamna 'ananiambia alikuwa ananichunguza sasa ameamini mimi ni mwanaume bora nafaa kuwa naye" Napata mshtuko

Je huyo mwanamke anaandaa mazingira mapya ya kunipiga vizinga au ana mishe nyingine kwangu?
Najua alikuumiza.. KULA KWANZA KITU. Halafu na yeye Muumize kama alivyokuumiza. Wasilete michezo hapa.
 
Ili kimfundisha, wewe usimmblock , akituma message yake isome halafu usiijibu (blue tick).⁰

Hata kama 270k yako haitarudi ila atakuwa amejifunza.
 
Miezi kadhaa nilimtaka mwanamke jirani tu na ninapoishi,licha ya kunikubalia lakini chenga zikawa nyingi mnooo mpaka nikakata tamaa

Lakini siyo siri jumla ya thamani ya vizinga alivyonipiga ni kama laki 270 lakini sikupata penzi

Siku niliyoachana naye ni siku tumeenda hotel baada ya chakula cha jioni alisepa bila taarifa

Usiku huo akaniweka blacklist, nikaamua kupotezea

Ni miezi 8 tangu niache kufuatilia,nashangaa ananitext whasap na kunisalimia ,naitikia vizuri lakini anaanza kuniulizia kama nimeishamsaliti nimemchukua mwingine

Namjibu hamna 'ananiambia alikuwa ananichunguza sasa ameamini mimi ni mwanaume bora nafaa kuwa naye" Napata mshtuko

Je huyo mwanamke anaandaa mazingira mapya ya kunipiga vizinga au ana mishe nyingine kwangu?
Anataka sasa Akuunge kwenye gridi ya taifa.
 
Huyo demu alikuwa na mtu ambaye alikuwa anampenda na wewe alikuweka pending. Nahisi kilichotokea ni kwamba amepigwa chini au ameachana na huyo mtu wake ndio akagundua kuna mtu alimpenda na kumjali kwa dhati.

Wala usikurupuke msome vizuri ana nia gani na mweleze kwa utulivu kuwa alikukosea sana kukukimbia bila kuaga na kukublacklist. Mwambie huna imani nae na unamchunguza kama kweli ana mapenzi maana ulitegemea kumuoa (mdanganye)

Pia piga tunda haraka sana na ukiona bado ana wenge mmwage. Ila kula tunda kufidia hiyo 270,000 yako isiende bure
 
Miezi kadhaa nilimtaka mwanamke jirani tu na ninapoishi,licha ya kunikubalia lakini chenga zikawa nyingi mnooo mpaka nikakata tamaa

Lakini siyo siri jumla ya thamani ya vizinga alivyonipiga ni kama laki 270 lakini sikupata penzi

Siku niliyoachana naye ni siku tumeenda hotel baada ya chakula cha jioni alisepa bila taarifa

Usiku huo akaniweka blacklist, nikaamua kupotezea

Ni miezi 8 tangu niache kufuatilia,nashangaa ananitext whasap na kunisalimia ,naitikia vizuri lakini anaanza kuniulizia kama nimeishamsaliti nimemchukua mwingine

Namjibu hamna 'ananiambia alikuwa ananichunguza sasa ameamini mimi ni mwanaume bora nafaa kuwa naye" Napata mshtuko

Je huyo mwanamke anaandaa mazingira mapya ya kunipiga vizinga au ana mishe nyingine kwangu?
Duuh kwanza uwo moyo unautoa wapi mkuu wakujibu sms zake? Na inamaana wewe iyo namba hukuwa umefuta mzee wangu? Alafu kama ni jirani yako ilikuwaje hukumpa heka heka maana icho kibunda ulimpa kwa mazingira gani?

Kwa maelezo yako ivi kweli unahitaji ushauri juu ya uyo mwanamke mkuu? Ni ombi kwa sisi vijana wa kiume tupunguze malalamiko ya kuhusu wanawake, sisi ndo vichwa sasa hii kulia lia kila siku inapoteza sifa izo za mwanaume.... Sina chakukushauri cuz i know unajua chakufanya nigga
 
Back
Top Bottom