Alinipiga mizinga nikaambulia zero, eti sasa anaanza kunitafuta

Acha ujinga wewe huyo kapigwa teke la pua kakumbuka mnyonge wake
 
Ninachotaka kukuambia ni kwamba kipindi unaanzisha mahusiano na huyu binti mazingira yanaonesha alikuwa ana mahusiano na mwanaume Mwingine ww kwako alikuwa kama mpitaji mambo yalipobuma amerudi kwako

Ushauli wangu kwako broo huyo demu huyo demu mrudie kwa lengo tuu moja nalo ni kumgonga basi baada ya hapo piga chini tuu
 
Poa mkuu
 
Wew ni lijinga, hukuwa na haja yakuleta thread hapa ya kulia lia zaid ya kuleta mrejesho baada ya kumfanyia maamuzi ya kiume, yaan fanys jambo mpka shetan akae chini ashangae,(1) muite geto mwambie unampenda mpakie mkongo na mlie supu ya pweza, then mchezeshe ndomboro siku nzma, then mteme mkatae kabsa,

.2)muite geto then akija mchezee weeeee mpka akainike alafu mwambie ''siwez fanya uchafu na mwanamke malaya" mtimue nje na nguo zake..utakuja kunishukuru

3)...Mpandie hewan mwambie aache upumbav hakuna majarbio ktk mapenz kama alikuweka we kama sehem ya majarbio il apate kuujua msimamo wako bas msimamo wako uwe HUMTAKI!!! acha uogaa we kijana mdogo we kijanaa mdogooo.......mfanyie kati ya haya mambo na ulete mrejesho acha kuwa mwepes kwa madem, najua hapo ushaanza kushoboka kwake
 
Umehonga 270k????

Sa kama ungepewa si ungehonga M
Acha upigwe tu na kwa taarifa yako saivi kafulia anataka hela tu pimbi wewe!![emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 

Hugo ni Malaya wa Badoo tu, piga chini bila huruma
 
Mleta mada go for number 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…