Alinitishia kusambaza picha zangu za utupu kama nisipompa milioni 1. Nilitoa taarifa polisi akakamatwa

Una uhakika gani kama ukimpa hiyo 1M atafuta hio clip? Mtafute umpore simu mvue nguo mpige picha za kutosha ukiwa na wana wajifanye wanampiga mtungo (ila wasimtunge kweli) halafu sepa uone kama atavujisha
 
Mafia kama mafia 😅😅😅😅😅
 
Potezea usioneshe attention kwenye hiyo kitu ikijulikana home kwako utayasolve tu nalo litapita kama yanavyopita mengine.

Mwanaume kuwa na wanawake wengi ni kawaida but vice versa is not valid
 



PROBLEM SOLVED
Nawashukuru sana wadau kwa ushauri wenu wote mliochangia mada

Hao niliowa quote hapo juu niliamua kwenda na ushauri wao

Tulikwenda sawa na Polisi kisha wakamdaka saa6 mchana akalala hadi kesho yake jioni akafungunguka kila kitu

Kumbe ana basha wake mwingine ambaye ndio alimpanga kufanya huu ujinga na picha na video alikua nazo pia jamaa

Usiku ulele jamaa akadakwa kwake na yeye ana mke na familia [emoji23][emoji23][emoji23]

Wakapigwa mikwara mingi kituoni na zikawekwa kumbukumbu kwamba iwapo kuna sehemu bado hizi picha/video zipo na zikivuja watawajubika kwa kuonyeshwa mifano na sheria

Madai ikawa tu kurudishiwa garama za usumbufu 330k ambazo ni kama rejesho la 200k zilizo wawezesha wajomba
Yule boya na hawara wake watakua wamekamuliwa parefu sana na polisi, Hatukutaka hata kujua tukasepa na nakala ya maelezo yao

Nashukuru sana wadau
 
Hongera sana mkuu. Sasa Nakuruhusu endlea Kuchepuka ila Utumie akili ukiwa na hao Viumbe
 
Blackmailers wa kibongo tena mwanamke malaya hovyo tu .Hakupangilia mikakati vizuri.Kibongobongo picha za kunyanduana zinamuathiri mwanamke zaidi kuliko mwanaume.Pole mwamba
 
Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!

Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri.
Wewe ndo mwamba sasa.

Huu mchezo umekuwa ni kawaida sana sasa.

Dawa ni sheria tu maana hakuna mahala kuwa umetenda jinai kwa kuchepuka
 
Safi sana,hapo umesambaratisha adui wawili kwa wakati mmoja.Huyo mwamba mwenye mke atakuwa kadhalilika sana.Kastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…