Alinitishia kusambaza picha zangu za utupu kama nisipompa milioni 1. Nilitoa taarifa polisi akakamatwa

Alinitishia kusambaza picha zangu za utupu kama nisipompa milioni 1. Nilitoa taarifa polisi akakamatwa

Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!

Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri.

Una familia yako mke na watoto na una mchepuko wako, ghafla mchepuko ambao mnakwenda nao sawa muda wote unatega kamera na kuchukua tukio wakati mna vunja amri ya 6 kwenye chumba chake ulicho msaidia kulipa kodi

Baada ya hapo anakutumia clip kisha ana demand 1M la sivyo anaiuza kwa dada Mange au anaivujisha tu.

Mchepuko umekwanda mbali na kudai kama mbwai mbwai, ukimpeleka tu polisi anaiachia mitandao kwa Da Mange, yupo tayari kurisk lolote ili mradi aipate 1M.

Tafadhali mahubiri na wale wa kwanini uchepuke kaeni pembeni kwanza, majemedari wapangue hii kesi kisha mtafuata baadae.

Usiniulize kama ni mimi au la, toa ushauri tafadhali.

Deadline ni Jumatano.

Nawasilisha.
Una uhakika gani kama ukimpa hiyo 1M atafuta hio clip? Mtafute umpore simu mvue nguo mpige picha za kutosha ukiwa na wana wajifanye wanampiga mtungo (ila wasimtunge kweli) halafu sepa uone kama atavujisha
 
KUWA MWANAUME KAMILI

Nakupa Mbinu japo Ni ngumu na Inatakiwa Ujitoe Akili kisawasawa kwani nachokwambia Hapa Ni UMAFIA.

Tafuta Watu wa KAZI wamteke halafu mleweshe kwa Madawa mchukue Video za Utupu ambazo zinamuonyesha kwa Uwazi wote. Hakikisha Unafanya UNYAMA ambao hautahusisha Kupoteza UHAI wake.

Hakikisha BLACK MAIL yako inakuwa Ya Kibabe zaidi.
Mafia kama mafia 😅😅😅😅😅
 
Potezea usioneshe attention kwenye hiyo kitu ikijulikana home kwako utayasolve tu nalo litapita kama yanavyopita mengine.

Mwanaume kuwa na wanawake wengi ni kawaida but vice versa is not valid
 
Ongea na police wa Cyber, wape ya brash mia. Wam-shake, aelewe anaweza kwenda jela na kulipa fine ya mamilioni. Huyo mchepuko atafuta mpaka alizosave kwenye cloud. Usiogope kuhusu wife, kama anakujua vzr anajua unachepuka huenda nayeye pia anachepuka.

Kama kweli huyo demu kadhamiria basi issue imekwisha kua out of control, atakusumbua tena hata ukimpa hiyo hela

Fanya hivi
Kuanzia sasa hakikisha una record kila kitu kuanzia maongezi sms watsap nk ya vitisho vyake ili akiharibu kweli basi nayeye asipone

Anza kumremba kama unataka kukubali ili upate rekodi ya vitisho vyake vyote kisha umwambie kuwa una rekodi zake zote za vitisho na umtumie asikie kisha mwambie achague kufungwa wewe upate aibu au mambo yaishe
Lazima atakua mdogo hapo

Anza hilo zoezi mara moja
Maana wakina mwijaku walipona sababu alikosekana aliyezisambaza
Kwa vitisho vyake na demand zake utampiga pin

Usitume pesa
Usitume pesa
Usitume pesa

Nimeandika mara tatu kwa msisitizo ..

Cha kufanya record message zake za vitisho na mpigie kumbembeleza ili upate audio records kusanya ushahidi vya kutosha

Nenda polisi wape hata kilo wam shake kidogo kwa kesi ya blackmail mbona atazifuta

PROBLEM SOLVED
Nawashukuru sana wadau kwa ushauri wenu wote mliochangia mada

Hao niliowa quote hapo juu niliamua kwenda na ushauri wao

Tulikwenda sawa na Polisi kisha wakamdaka saa6 mchana akalala hadi kesho yake jioni akafungunguka kila kitu

Kumbe ana basha wake mwingine ambaye ndio alimpanga kufanya huu ujinga na picha na video alikua nazo pia jamaa

Usiku ulele jamaa akadakwa kwake na yeye ana mke na familia [emoji23][emoji23][emoji23]

Wakapigwa mikwara mingi kituoni na zikawekwa kumbukumbu kwamba iwapo kuna sehemu bado hizi picha/video zipo na zikivuja watawajubika kwa kuonyeshwa mifano na sheria

Madai ikawa tu kurudishiwa garama za usumbufu 330k ambazo ni kama rejesho la 200k zilizo wawezesha wajomba
Yule boya na hawara wake watakua wamekamuliwa parefu sana na polisi, Hatukutaka hata kujua tukasepa na nakala ya maelezo yao

Nashukuru sana wadau
 
Hongera sana mkuu. Sasa Nakuruhusu endlea Kuchepuka ila Utumie akili ukiwa na hao Viumbe
 
Blackmailers wa kibongo tena mwanamke malaya hovyo tu .Hakupangilia mikakati vizuri.Kibongobongo picha za kunyanduana zinamuathiri mwanamke zaidi kuliko mwanaume.Pole mwamba
 
Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!

Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri.
Wewe ndo mwamba sasa.

Huu mchezo umekuwa ni kawaida sana sasa.

Dawa ni sheria tu maana hakuna mahala kuwa umetenda jinai kwa kuchepuka
 
Safi sana,hapo umesambaratisha adui wawili kwa wakati mmoja.Huyo mwamba mwenye mke atakuwa kadhalilika sana.Kastahili.
 
Back
Top Bottom