Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Nyuki wa mama tulieni na mapovu yenu kidogo, nimekuja kuwakumbusha tu katika one and wtp za viongozi kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


Wanasema eti kapanda na kushuka

Vimbwanga vimepamba moto jamani, ila hata baada ya kufanya maigizo yote hayo na karate bado kuna mtu kaangukia pua tena kachinjiwa baharini mbele ya hadhara.

Ni huzuni!
 
Hao unaowazomea wamezaliwa ndani ya CCM, maisha yao yote hata kusoma kwao kote ni kutokana na mirija ya CCM. Hao ni tofauti na kina Byabato au Luhaga Mpina, mizizi yao ipo ndani kabisa huko kwenye inner circle, usiwacheke ukadhani wanapotea, hao ndio kwanza kwaa umri wao shughuli inaanza, miezi 2-3 wanaanza piga deal za hela ndefu wakiwa uraiani, yani kilaini tu.

Usimuone Sheta chizi anavyompambania mwanae, huyo mtoto 30years to come atakuwa hashikiki ndani ya chama, awe na cheo asiwe na cheo maisha ni yale yale.

Kupanga ni kuchagua.
 
Dunia haina huruma !!!!!!!!!!!!
 
Nape Nnauye ni aibu kwa taifa
 
Kwshiyo chawa wa Nape ndio unajipa moyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…