Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo?

Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo?

Kwshiyo chawa wa Nape ndio unajipa moyo?:KEKLaugh:
sina uchawa wala dalili ya uchawa, nmeongea uhalisia, na huo ndio uhalisia wa mambo. hawa vijana waliozaliwa ndani ya chama ni ngumu sana kuwatoa kwenye reli. watakaa pembeni tu kama mzazi anavyomkanya mtoto, ila ni swala la muda tu watarudi kwenye game as if nothing happened.
 
Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Haina tofauti na biashara, kuna mashindano (competition) tu.

Mnaposhindana, shindaneni kwenye mema.
 
Nyuki wa mama tulieni na mapovu yenu kidogo, nimekuja kuwakumbusha tu katika one and wtp za viongozi kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3048711View attachment 3048716
Wanasema eti kapanda na kushuka :KEKLaugh:

Vimbwanga vimepamba moto jamani, ila hata baada ya kufanya maigizo yote hayo na karate bado kuna mtu kaangukia pua tena kachinjiwa baharini mbele ya hadhara.:KEKLaugh::BearLaugh:

Ni huzuni!
Yupo ngazi ya kwanza ana sweat na kuuma mdomo ni igizo tu
 
Hilo soko la Kashai sijui kama litajengwa kweli maana alitegemea kuyakamua makapuni ya simu sasa ndiyo kama vile tena.
 
Back
Top Bottom