sina uchawa wala dalili ya uchawa, nmeongea uhalisia, na huo ndio uhalisia wa mambo. hawa vijana waliozaliwa ndani ya chama ni ngumu sana kuwatoa kwenye reli. watakaa pembeni tu kama mzazi anavyomkanya mtoto, ila ni swala la muda tu watarudi kwenye game as if nothing happened.
Nyuki wa mama tulieni na mapovu yenu kidogo, nimekuja kuwakumbusha tu katika one and wtp za viongozi kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.
Vimbwanga vimepamba moto jamani, ila hata baada ya kufanya maigizo yote hayo na karate bado kuna mtu kaangukia pua tena kachinjiwa baharini mbele ya hadhara.