GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa hiyo anaanza Rais kisha inafuata Katiba siyo?Hapangiwi
Unajua tunashindwa kujua kuwa yeye ni Rais
Isome Katiba yetu pendwa uielewe
Mafi yako
Huyu mtoa Mada ana utindio wa ubongo. Mimi nahisi wenzake Wana mgonga .Sasa kama kakubali mabango si ndo kakubali demokrasia na uhuru wa maoni?
Wewe ulitakaje aendelee kukataaa?
Binadamu siyo jiwe tunabadilika kutokana na mazingira tuliyopo,
Nimecheka sana Hadi nimepaliwa Mkuu[emoji3516][emoji851][emoji851][emoji23]
Kil mtu ana maamuzi yake.Kama wewe ni maamuzi yako,kuficha jina lako halisi,ukajiita gentamycine,badala ya gentamicine.Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Kigeu geu. Amepoteza direction kabisaHakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Umesema kweli tupu.Huyu mtoa Mada ana utindio wa ubongo. Mimi nahisi wenzake Wana mgonga .
Genta, never ever hate the player..utawahi kuhukumu kwa kukurupuka Kama ambavyo wew hupendi wengne wakikurupuka kwenye maamuz..hate the gameHakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Unahangaika mzee,hivi huna kazi za kufanya unashinda unamfuatilia huyo mama au ni mke mwenzio mmechangia mme?Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.