Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabango hayakwepeki maana sio rahisi matatizo/changamoto za wananchi kutokuwepo au kutatuliwa zote na kuzimaliza kwa mkupuo. Nadhani amegundua mtazamo ule haukuwa sahihi.Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Ni hewa tupuyule hamna kitu, anatutengenezea tatizo kubwa sana kiasi kwanza Rais atakayekuja 2025 atakuta kila kitu kimeharibiwa na huyu ndugu
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.
Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.
Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Tuliobarikiwa Akili kama Wewe na Mimi Mkuu ni wachache sana / mno hapa JamiiForums.Wanaokejeli mtoa mada hawawezi hata kusema kuna kosa gani. Kichwa cha habari kimejitosheleza. Hebu kisomeni tena. Hicho tu.
Msimamo,
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
😅😅😅Bendera fuata upepo.upo