Alipoingia alisema hataki 'Mabango' sasa Kazoea Utamu wa 'Mercedes Benz' anasema yakusanywe yote ili yafanyiwe Kazi je, tumueleweje?

Alivyosema kule Arusha kuwa kiukweli walijichelewesha sana kupata barabara nzuri sababu ya upinzani,nikaona tatizo lipo pale pale.Eeh Mungu,tuhurumie sisi Wadanganyika!
 
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.

Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.
Mabango hayakwepeki maana sio rahisi matatizo/changamoto za wananchi kutokuwepo au kutatuliwa zote na kuzimaliza kwa mkupuo. Nadhani amegundua mtazamo ule haukuwa sahihi.
 
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia.

Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021 badala ya kuweka Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Shujaa wa Taifa aliyekufa tarehe 14 Oktoba 1999.

Kusema Ukweli ni Desturi yangu hivyo tuvumiliane tu na ukitaka GENTAMYCINE asiwe anakukosoa sana hapa JamiiForums hakikisha unafanya Mambo yenye Akili ns siyo yenye Akili za Kunywa Wine ( Mvinyo ) kila mara tu.

Kwani Kayumba nyamwasa alipokuja na mbadala wa kutokuwaua wahutu bali siasa itumike kuwaelimisha !!Ndugu yako alisikia?si ndio kwanza akamtumia na watu wampige risasi baada ya kumwua patrick karegeya!!!!!NADHANI NA HANGAYA HAPANGIWI ANAFANYA AJISIKIAVYO!!!
 
Back
Top Bottom