TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Video hizi zinaonesha tukio la binti anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 akiwa ndani ya jumba la kifahari linalomilikiwa na huyo mama mwenye baibui nyeupe, inasemekana binti alipotea kimazingara na huyo mama anasadikika kuwa ni mwanga.
Binti amekutwa hawezi kuongea kwakuwa amekutwa amekatwa ulimi, eneo sahihi la tukio kutokea bado halijafahamika.
Endelea kucheka na watu
Binti amekutwa hawezi kuongea kwakuwa amekutwa amekatwa ulimi, eneo sahihi la tukio kutokea bado halijafahamika.
Endelea kucheka na watu