TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Kwamba video hazionekani?Hamna kitu
Alitaka ku hukuliwa msukule wamemuwahi
Siweki taarifa ambayo source yake siijuiIsije kuwa tangazo la mganga. Wale mnaopenda hadithi za kufikirika za waganga kuweni makini msije pigwa na kitu kizito utosini
Wewe ni kipofu,na nikiziwi?Isije kuwa tangazo la mganga. Wale mnaopenda hadithi za kufikirika za waganga kuweni makini msije pigwa na kitu kizito utosini
Hebu tupe source na chanzo cha huyo dada kufika humo ndani! Pia hakuna kinachoonesha huyo dada kakatwa ulimi zaidi ya maigizo tu ya waganga na hadithi za kufikirikaSiweki taarifa ambayo source yake siijui
umeona ulimi uliokatwa hapo?Wewe ni kipofu,na nikiziwi?
πππNitarudi kubisha
Typically maigizo ya Mambo Hayo Sanaa Group na kina Ray KigosiHii mbona kama Bongo Movie
Mbona unauliza maswali ya kinazi?umeona ulimi uliokatwa hapo?
Siku wambinyu mwanao ndio utaaminiTypically maigizo ya Mambo Hayo Sanaa Group na kina Ray Kigosi
wapi?Video hizi zinaonesha tukio la binti anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 akiwa ndani ya jumba la kifahari linalomilikiwa na huyo mama mwenye baibui nyeupe, inasemekana binti alipotea kimazingara na huyo mama anasadikika kuwa ni mwanga...