Alipotumbuliwa kwa fitina na Zengwe mlifurahia na kumkebehi Ayubu Ndugai. Leo hii mnazunguka majukwaani na kumuona Shujaa aliyetabiri nchi kuuzwa.

Alipotumbuliwa kwa fitina na Zengwe mlifurahia na kumkebehi Ayubu Ndugai. Leo hii mnazunguka majukwaani na kumuona Shujaa aliyetabiri nchi kuuzwa.

Sasa nchi imeuzwa wapi na kwa nani? Kwa shillingi ngapi?
Kama huelewi kwa kusikia hata kuona huwezi kuona ?!

Wamasai wanafurushwa kule na kuwindwa Kama swala ili iweJe ?!. Wale wamasai utawaambia nchi yao haijauzwa kwa wajomba ?!
 
WAO WANASIMAMA NA YEYOTE ANAYESIMAMIA HAKI , MASLAHI YA TAIFA NA MZALENDO WA KWELI. PIA WANAPINGANA NA YEYOTE ASIE MTENDA HAKI, MZANDIKI, MUONGOMUONGO NK. KWA MAANA HIYO KAULI YA KIZALENDO INAUNGWA MKONO BILA KUJALI NANI KAITOA.
 
Unataka iuzwe kama peremende ndio uone imeuzwa?
Kwani maana ya kuuza ni nini? Ukiuza kitu unahamisha miliki!! Kinyume cha hapo hujauza. Aidha umeazimisha au umekodisha
 
Back
Top Bottom