Alipotumbuliwa kwa fitina na Zengwe mlifurahia na kumkebehi Ayubu Ndugai. Leo hii mnazunguka majukwaani na kumuona Shujaa aliyetabiri nchi kuuzwa.

Alipotumbuliwa kwa fitina na Zengwe mlifurahia na kumkebehi Ayubu Ndugai. Leo hii mnazunguka majukwaani na kumuona Shujaa aliyetabiri nchi kuuzwa.

Ndugai alizungumzwa kwa mambo maovu aliyoshiriki kufanya!
Na alitetewa pale alipotendewa uovu!
Hata wewe ukizingua utasemwa! Na ukizinguliwa utatetewa!
Hiyo ndo kanuni kuu ya ukweli!
 
Back
Top Bottom