Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Vijana wa siku wana matatizo, km wazee wetu kina Mkapa, Warioba, Sumaye na wengine wengi wameoa makabila tofauti na ya kwao kwanini sahivi? Haya mambo ya ubaguzi wa kikabila na kikanda ulianza wakati wa Magu. Yule msukuma ametuharibia nchi.
 
Akae kwa kutulia

Asiyesikia la mkuu....
 
Makabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana
Kaka yangu alioa mpare. Ilikua wakija ndugu zake basi wanapewa kazi. Mdogo wake wa kiume akawa kazi yake garden na kuangalia ng'ombe, mdogo wake wa kike ilikua ndio kazi zote za pale nyumbani kama housegirl. Kwakweli nilikua naona ajabu sana. Sisi ndio lile kabila kila siku nyumba imejaa magodoro yanatandikwa mpaka sebuleni
 
Ndugu kujazana ni ishara ya umaskini. Uzaramoni, upembani wanahamia mazima na wanatamba kucha kutwa kama mali zao vile. Na kazi zingine hawfanyi
Tulishaacha hizo tabia za kuhamia ila Mali zako lazima tutambie popote tutakapokuwa ,haiwezekani shemeji ana eicher ya mbagala to mabwe pande ipite nipo na wanangu nishindwe kusema gari letu na shemeji hilo
 
Mdi Ndivyo na mimi niliingia mtego kwa kabila moja la kanda ya ziwa ila nikilitaja jina wasukuma/wanyantuzu watachukia ila hata mwaka haujaisha anaanza kuniuliza napokea mshahara shilingi ngapi kwa mwezi, binti ana hasira sana ilifikia kipindi anarusha ngumi kutaka kunipiga,anataka kumleta mtoto mdogo wa baba yake nyumbani kwangu hapo tunaishi chumba kimoja,nilimuondosha aisee
 
Uliza
Vijana wa siku wana matatizo, km wazee wetu kina Mkapa, Warioba, Sumaye na wengine wengi wameoa makabila tofauti na ya kwao kwanini sahivi? Haya mambo ya ubaguzi wa kikabila na kikanda ulianza wakati wa Magu. Yule msukuma ametuharibia nchi.
Mkapa kwao hata kibanda cha kueleweka hajajenga ila nenda moshi alivyoshusha mijengo kwa mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…