Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Mi mkinga, katika makabila ambayo hayalei ujinga na uvivu basi ni kinga’s.
Mgeni akija kwetu anatafutiwa kazi ya kufanya hakuna kuzunguka bila kazi 😹

Ila wapare mnapenda kitonga halafu vivivu na ufupi wenu 😹😹🤣
Sasa nyie wakinga ndio wachawi knoma, usikute nyie ndio mliloga ghorofa la watu mpaka kudondoka
 
Sasa nyie wakinga ndio wachawi knoma, usikute nyie ndio mliloga ghorofa la watu mpaka kudondoka
Uliwahi kuona mkinga anajisifia uchawi km mpare?? 😏
Ghorofa lilidondoka kwa tamaa za mmiliki kutaka kuongeza fremu.
 
Uliwahi kuona mkinga anajisifia uchawi km mpare?? 😏
Ghorofa lilidondoka kwa tamaa za mmiliki kutaka kuongeza fremu.
Huku mtaani kwetu c nawaona nyie wakinga mlivyo, kuna baba mwenye nyumba wangu flan alikuwa hawezi kukupa pesa asubuhi na jioni yn atafanya kila namna mpaka akupe mchana.
 
Huku mtaani kwetu c nawaona nyie wakinga mlivyo, kuna baba mwenye nyumba wangu flan alikuwa hawezi kukupa pesa asubuhi na jioni yn atafanya kila namna mpaka akupe mchana.
Unamfanyia kazi gani mpk akupe pesa mchana huyo baba mwenye nyumba yako??
Na kwanini utake asubuhi na usiku kupewa pesa?? 🤔
 
Huyo ni MNYAKYUSA wala usizunguke!
 
Wasakuma,waha,wanyakyusa,wazaramo bila kuwasahau ndugu zetu wapemba aise ukioa hayamakabila kazi unayo

Hasahasa wasukuma tenq ukiwa mjini wanakuja kama saba hivi tena wanabebana na majamaa zao wanakuja kukaa hata wiki.

Na wanapeleka msosi ni balaa.
Na wanakula hatarini🫡
 
Unamfanyia kazi gani mpk akupe pesa mchana huyo baba mwenye nyumba yako??
Na kwanini utake asubuhi na usiku kupewa pesa?? 🤔
Ah mambo n mengi pia yawezekana sio Mm kutaka kupewa hizo pesa, watu n wengi wanamuongelea hilo jambo
 
Nilikutana na dada wa Rombo mashati anafanya uhuni kitandani kuliko mwanamke wa mtwara au Tanga toka hapo siamini katika ukabila ni kufanya uchunguzi binafsi.
 
Watu wa dodoma hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…