Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Wageni wa kipare siwataki vivivu kazi kujisifia uchawi na uchoyo 😹😹Naomba niwe mgeni wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wageni wa kipare siwataki vivivu kazi kujisifia uchawi na uchoyo 😹😹Naomba niwe mgeni wako
Mm n mpare wa mjini hvy sina madhara 😎Wageni wa kipare siwataki vivivu kazi kujisifia uchawi na uchoyo 😹😹
Sasa nyie wakinga ndio wachawi knoma, usikute nyie ndio mliloga ghorofa la watu mpaka kudondokaMi mkinga, katika makabila ambayo hayalei ujinga na uvivu basi ni kinga’s.
Mgeni akija kwetu anatafutiwa kazi ya kufanya hakuna kuzunguka bila kazi 😹
Ila wapare mnapenda kitonga halafu vivivu na ufupi wenu 😹😹🤣
Uliwahi kuona mkinga anajisifia uchawi km mpare?? 😏Sasa nyie wakinga ndio wachawi knoma, usikute nyie ndio mliloga ghorofa la watu mpaka kudondoka
Huku mtaani kwetu c nawaona nyie wakinga mlivyo, kuna baba mwenye nyumba wangu flan alikuwa hawezi kukupa pesa asubuhi na jioni yn atafanya kila namna mpaka akupe mchana.Uliwahi kuona mkinga anajisifia uchawi km mpare?? 😏
Ghorofa lilidondoka kwa tamaa za mmiliki kutaka kuongeza fremu.
Unamfanyia kazi gani mpk akupe pesa mchana huyo baba mwenye nyumba yako??Huku mtaani kwetu c nawaona nyie wakinga mlivyo, kuna baba mwenye nyumba wangu flan alikuwa hawezi kukupa pesa asubuhi na jioni yn atafanya kila namna mpaka akupe mchana.
Huyo ni MNYAKYUSA wala usizunguke!Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha
Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao
Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,
Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,
Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.
Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.
Mwisho kabisa nimempa wazo la mkakati kabambe wa kutokomeza kijiji kistaarabu kabisa, Kuwa target kwa kutumia udhaifu wao, hawapendi kujishughulisha, hivyo wasichopenda ni kazi na ndicho watachopewa
Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.
Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Na wanakula hatarini🫡Wasakuma,waha,wanyakyusa,wazaramo bila kuwasahau ndugu zetu wapemba aise ukioa hayamakabila kazi unayo
Hasahasa wasukuma tenq ukiwa mjini wanakuja kama saba hivi tena wanabebana na majamaa zao wanakuja kukaa hata wiki.
Na wanapeleka msosi ni balaa.
Ah mambo n mengi pia yawezekana sio Mm kutaka kupewa hizo pesa, watu n wengi wanamuongelea hilo jamboUnamfanyia kazi gani mpk akupe pesa mchana huyo baba mwenye nyumba yako??
Na kwanini utake asubuhi na usiku kupewa pesa?? 🤔
Nilikutana na dada wa Rombo mashati anafanya uhuni kitandani kuliko mwanamke wa mtwara au Tanga toka hapo siamini katika ukabila ni kufanya uchunguzi binafsi.Zamani ishu ya makabila ilikuwa na maana Sana Ila sasa hivi mambo yamebadilika. Ukioa Kwa kuangalia kabila, utakwama. Chunguza tabia za mhusika na maisha ya wazazi wake kama hawapo angalia ndugu zake wa karibu.
Maisha ya kwenda kukaa Kwa mtu bila shughuli yoyote ni ufenenge Sana.
Watu wa dodoma haoNi kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha