Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

U
Uliza
Mkapa kwao hata kibanda cha kueleweka hajajenga ila nenda moshi alivyoshusha mijengo kwa mke wake
Unataka kusema nini, alivyozikwa Lupaso ile siyo nyumba? Acha kuishi kwa hisia, hiyo nyumba ya Moshi we unaifahamu ilipo. Acha uwongo na upotoshaji. Tunajua ana mjengo Lushoto, kokote unaweza kujenga. We kaoe huyo mshamba mwenzio. Point ni kwamba acheni ukabila, we unaoa mwanamke siyo kabila
 
Wasakuma,waha,wanyakyusa,wazaramo bila kuwasahau ndugu zetu wapemba aise ukioa hayamakabila kazi unayo

Hasahasa wasukuma tenq ukiwa mjini wanakuja kama saba hivi tena wanabebana na majamaa zao wanakuja kukaa hata wiki.

Na wanapeleka msosi ni balaa.
Waha je
 
Hapo tatizo sio kabila bali ni huyo mwanamme au mwanamme mimi yaliwahi kumkuta bro ila bro aliamua kusimamia uhalisia wake akamwambia mke wake "nakupenda mke wangu na nna penda ndugu zako naomba mazoea yapungue kidg" alivoona mkewe hajafikisha ujumbe kwa ndgu zake akawachana live. Japo walimaind mwanz lakn now mamb n muswano
Hata binamu yangu mmoja alifanya hivi kwa hao ndugu wa mke. Alipoona kero limezidi siku moja alipiga maji yake ya kutosha (alikuwa mlevi hasa) na alipofika nyumbani aliwasema sana na kuwaambia kesho yake asione mtu hapo. Ndugu wa mke walichukia sana lakini walikata kwenda pale.
 
Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha

Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao

Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,

Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,

Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.

Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.

Mwisho kabisa nimempa wazo la mkakati kabambe wa kutokomeza kijiji kistaarabu kabisa, Kuwa target kwa kutumia udhaifu wao, hawapendi kujishughulisha, hivyo wasichopenda ni kazi na ndicho watachopewa

Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.

Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Hilo kabila lazima watakuwa Wakerewe
 
U
Unataka kusema nini, alivyozikwa Lupaso ile siyo nyumba? Acha kuishi kwa hisia, hiyo nyumba ya Moshi we unaifahamu ilipo. Acha uwongo na upotoshaji. Tunajua ana mjengo Lushoto, kokote unaweza kujenga. We kaoe huyo mshamba mwenzio. Point ni kwamba acheni ukabila, we unaoa mwanamke siyo kabila
Ile ni kibanda Tu
 
Makabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana
Sioi mrangi, mpare wala muarusha kila mwanaume ana sampuli zake wewe elewa hivyo tu kuna Wanaume hatupendi bughuza na makelele makelele tunataka tuishi maisha marefu mpaka 99 o'clock kuelekea 100 sio unaoa mtu unafika 40 kongosho linasumbua ukiulizwa msongamano wa mawazo pressure nayo balaa

Msukuma sioi hapa sitaki kabisa
Mnyakyusa sioi ni kisanga kingine
Muha sioi hili balaa nililokutana nalo nilisema sigusi tena hizi mtu yaan sio mchezo hilo mbilinge lake
Mtutsi sioi wapo kigoma hawa siwagusi tena nilishaapa
Mhutu sioi wapo kigoma sigusi tena hawa watu
Mtaturu sioi
Mnyiramba sioi
Mmakonde sioi
Mrangi sioi
Mhehe sioi hawa hapana sirudii tena
Mfipa sioi
Mmatumbi sioi
Mngoni sioi
Mdigo sioi
Mshambaa sioi kule milimani Lushoto hio
Muhabeshi sioi hii nilikutana nayo moja kilichonikuta sirudii tena
Mkagulu sioi Morogoro hio hawa hapana kabisa sioi
Mchagga & Mpare sioi tena hawa naishi nao kila siku nipo nao nawajua vizuri sana sioi

List ni ndefu ila hao ni baadhi ambao niliwasoma nikaona hapa nitakula za uso piga chini fasta nikapita kushoto kidoogo Mbondei na Mkinga kwa mbaali napenda kusikilizwa sipendi Mwanamke anipande kichwani yaan hao niliowamention hulka zao ni kumpanda Mwanaume kichwani hawasikii wakiambiwa hawapendi kujishusha
 
Back
Top Bottom