Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Ndugu kujazana ni ishara ya umaskini. Uzaramoni, upembani wanahamia mazima na wanatamba kucha kutwa kama mali zao vile. Na kazi zingine hawfanyi
Na wataanzaa kuvaa Hadi kobanzi, boksa,pensi,masharti, tshirts,suruali zako..
😊😊 MISOSI Sasa ni Bora ukiwa huwezi ishi nao nikuhama na kwenda mbali NA WASAIDIWE WAKIWA MBALI alisikika jamaa mmoja MUHANGA wa hii scenario.
 
Mm kabila langu lina nature hiyo. Nahamia zanzibar so mpaka mtu kuja awe na sababu za msingi sana na aje na barua ya serikali ya mtaa
 
Dawa ya hao ndugu ni kazi,kama upo mjini anzisha ujenz hapo nyumban wawe saidia fundi na kusomba maji kama hayapo hapo nyumban,ambae hatak mwambie aondoke

Au fuga kuku au nguruwe wawe wanasafisha mabanda

Wafungie karanga ice cream wakauze mashuleni hakuna kukaa kizembe
 
""Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika"👆

Hao ni Wasu-****
 
Huyo lazima ni mrazaramo au mluguru au kabila kutoka pwani! Lakini hii story siyo ya rafiki yake bali ni yake mwenyewe!
 
Dah 🙌🙌basi itakuwa huyu naemuona hapa jirani yangu ni special
Maana msabato flani na familia yote imepoa sana
Kama Kuna wengine wabaya basi nimejua leo
Kama unafikia hatua ya kuona wanawake wa Kipare na Kirangi ni bora, basi fanya homework yako vizuri zaidi.
 
Ungesema na kabila Tuli define vizur maana Kuna makabila Ni shida haswa wahaya,wachaga Wazee wetu walishatuusia usioe Mhaya Au Mchaga hiyo ni Automatically Ni Shida
 
Makabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana
Nyooooo maisha Raha kwa kugongewa ama!!! Makabila ya hovyo ndo hayo sasa mke njoo usukumani huku
 
N
Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha

Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao

Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,

Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,

Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.

Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.

Mwisho kabisa nimempa wazo la mkakati kabambe wa kutokomeza kijiji kistaarabu kabisa, Kuwa target kwa kutumia udhaifu wao, hawapendi kujishughulisha, hivyo wasichopenda ni kazi na ndicho watachopewa

Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.

Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine

Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha

Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao

Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,

Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,

Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.

Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.

Mwisho kabisa nimempa wazo la mkakati kabambe wa kutokomeza kijiji kistaarabu kabisa, Kuwa target kwa kutumia udhaifu wao, hawapendi kujishughulisha, hivyo wasichopenda ni kazi na ndicho watachopewa

Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.

Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Hao lazima kutoka kanda ya ziwa au moro ndio style zao kujazana kwa ndgu...ajiongeze wakija awachane live mimi mdogo wangu yalimkuta baada ya kuwaambia waondokea na binti yao ndio wakakata mguu kwake yeye kaoa mbeya
 
Back
Top Bottom