johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji
Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na Mawazo
Na hata shambulio la Tundu Lisu liliumiza nchi nzima
Nadhani Hoja iko Hapo Kwamba Kwanini Leo ndio iwe " Rais Must Go"?
Yesu Kristo alisema " Amri mpya nawapeni Pendaneni"
Ahsanteni
Mlale Unono 🐼
Wewe ni mpuuzi sana na unakera sana joNi kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji
Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na Mawazo
Na hata shambulio la Tundu Lisu liliumiza nchi nzima
Nadhani Hoja iko Hapo Kwamba Kwanini Leo ndio iwe " Rais Must Go"?
Yesu Kristo alisema " Amri mpya nawapeni Pendaneni"
Ahsanteni
Mlale Unono 🐼
Nakukera Kwa sababu sipendagi unafiki 🐼Wewe ni mpuuzi sana na unakera sana jo
Sijui kawajee,ndiyo tatizo mnyakyusa akiokokaWewe ni mpuuzi sana na unakera sana jo
Jo ukitumia pombe chafu unatoaga boko sana humu.Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji