Aliuawa Mwangosi haikusemwa Rais Must Go, akauawa Mawazo haikusemwa Rais Must Go na hata alivyoshambuliwa Lissu. Nadhani Hoja iko hapo!

Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji

Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na Mawazo

Na hata shambulio la Tundu Lisu liliumiza nchi nzima

Nadhani Hoja iko Hapo Kwamba Kwanini Leo ndio iwe " Rais Must Go"?

Yesu Kristo alisema " Amri mpya nawapeni Pendaneni"

Ahsanteni

Mlale Unono 🐼
Upuuzi, mtupu, kila tukio linakuja na ukubwa wake, Steve Biko, Chris han, hawa wote walipigania Uhuru wa South Afrika, na waliumizwa Sana na kuuwawa, lakini, ni, Mandela ndio anajulikana kama Baba wa taifa wa South Africa,
Hakuna conspiracy theory ni vitu vya kawaida,
 
Akili yako inakwambia haya ni mambo ya kawaida, na hakuna sababu ya kutaka kuyakomesha!

Acha yawe ya kawaida kwako na wenzako wenye akili za aina zenu; msitake na wengine wawe na akili za aina hiyo.
Shida yako na hao wenzako ni ipi hayo yakikataliwa leo au kesho!
 
Uchunguzi umekuwa kama ahadi ya Yesu kurudi.
Suala si wangapi wameuawa ndipo kelele zikaanza, suala ni kuwa haya mayukio imeonekana yamekuwa sehemu ya maisha ya kawaida katika Taifa, na gapa ndipo wananchi wanapofikia ukomo wa uvumilivu wao na kutaka Majibu kwa kuwa muda wa kusubilia pasipo kuwa na majibu na ukomeshwaji wa matukio haya ndo unasleta Tofauti ya hali ya sasa . Tusipende kutoa malinganisho kwa kila jambo kuficha udhaifu . Hatua zinatakiwa kuchukuliwa na zionekane zinaleta Tofauti.
 
Full stop. Kila kinachotakiwa kusemwa umesema.
 
Upuuzi, mtupu, kila tukio linakuja na ukubwa wake, Steve Biko, Chris han, hawa wote walipigania Uhuru wa South Afrika, na waliumizwa Sana na kuuwawa, lakini, ni, Mandela ndio anajulikana kama Baba wa taifa wa South Africa,
Hakuna conspiracy theory ni vitu vya kawaida,
Na kwamba Vifo hawa mashujaa vilipta tu kama Vifo vya Kawaida kule South Africa, Kifo cha Mpigania Uhuru mashuhuri mwisho kuelekea Uhuru kilikuwa cha Chris Hani mwaka 1993 , mtu asikudanganye palitokea maandamano makubwa na Vurugu za wananchi hasa kule kwenye Mitaa ya Soweto na kilivuta laana kutoka kila pembe ya Dunia na Kifo chake hili kilichangia kuharakisha kuundwa kwa Seriklai ya Mseto na kuelekea kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Kwanza mwaka 1994 ambao ulileta ushindi kwa ANC na kupatikana kwa Uhuru. Kwa hiyo Vifo vingine siyo vya Kawaida na Historia ni Shahidi mzuri. Tusijotoe ufahamu katika malinganisho yetu na kuona kuondoka kwa Uhai wa wenzetu ni vitu vya kawaida. Tunapaswa kuvilaani kwa nguvu zetu zote na kutafuta namna ya kuvikomesha. Tusisubilie Mpaka tuwe na Masikio ya Kufa ambayo hayasikiagi Dawa
 
Akili yako inakwambia haya ni mambo ya kawaida, na hakuna sababu ya kutaka kuyakomesha!

Acha yawe ya kawaida kwako na wenzako wenye akili za aina zenu; msitake na wengine wawe na akili za aina hiyo.
Shida yako na hao wenzako ni ipi hayo yakikataliwa leo au kesho!
Hoja ni Kwamba hata sasa nguvu ya kumtafuta Soka mmeipunguza sana 🐼
 
Ili samia mist go iondoke inatakakiwa muwakamate hao watekaji na wauaji.
Kwanini anawakingia kifua?anawatuma?
 
Hawana lolote sema wamekutana na wananchi wenu waoga waoga
Basi nendeni mka import wakenya waje wawasaidie ma keyboard warriors......kule rombo hamna kitu watu wana import mabao ya kenya,,,,,,wamasai wa huku nao ndo heeee watu waka import masai wa kenya haya sasa maandamano nendeni mka import gen Z ya kenya maana hii ya bongo wanachojua ni kusambaza uti sugu tu
 
Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji

Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na Mawazo

Na hata shambulio la Tundu Lisu liliumiza nchi nzima

Nadhani Hoja iko Hapo Kwamba Kwanini Leo ndio iwe " Rais Must Go"?

Yesu Kristo alisema " Amri mpya nawapeni Pendaneni"

Ahsanteni

Mlale Unono 🐼
Imekuwa too much aisee, mpaka wanaohisiwa kufanya hayo matukio wanatajwa lakini hakuna hatua za kisheria zinazochukuliwa. Hii inaonyesha usalama wa Wananchi haupo salama. Na rais ndiye mkui wa vyombo vya ulinzi na usalama. Na leo anakuja anaongea maneno mepesi mepesi as if watu wanavyotekwa na kuuwawa ni kama sio binadamu.
 
Hoja ni Kwamba hata sasa nguvu ya kumtafuta Soka mmeipunguza sana 🐼
Nani hao wameipunguza. Hujui hilo ni jukumu la nani?
Hivi akili yako imekuwaje mara hii, mbona unazidi kudidimia kabisa? Kidogo ulikuwa na nafuu huko nyuma, ulikuwa ukivumilika kidogo; sasa mbona umevurugikiwa zaidi?
Kuna kitu gani kinaendelea katika maisha yako wakati huu. Kuyumba kwa CCM chini ya Samia kunatishia hali zenu?
 
Back
Top Bottom