Aliuawa Mwangosi haikusemwa Rais Must Go, akauawa Mawazo haikusemwa Rais Must Go na hata alivyoshambuliwa Lissu. Nadhani Hoja iko hapo!

Kwa hiyo anapendelea na kupendekeza nani akiuawa ndiyo watu wachachamae?Ni jambo jepesi tu.Achague hata watatu ila asiache na watoto wake.
Inasikitisha mkuu wa nchi kuwa na fikra za namna ile. Kadhihirisha pasi ya shaka kwamba kichwani kuna upungufu mkubwa. Ange fuata ushauri wake ule ule wa kunyamaza ingekuwa nafuu zaidi.
 
Unaweza kukubali kuachishwa kazi kizembe kweli, ugali wa watoto wake maza kaona autetee hata ungekua wewe ungekubali
 

Times change. No more experiments.Kama mtu hakui na kujifunza, huwa inatokea nini? Worldover, that is the price all leaders pay, when shit happens
 
Hahaha, Hii comment imenikumbusha siku chache kabla ya maandamano ya UKUTA. Ule mkwara online na kwenye keyboard hata majirani hawakuamini kilichotokea siku ya tukio.
Shida unakuja pale viongozi walipokubali kusitisha maandamano ya UKUTA maana huku nje raia tulikuwa tupo tayari .

Na maamzi yale yalipelekea CHADEMA kuwa chama cha kuomba haki zake , tatizo hili linakutesa chama . Kama kweli wapo kwa masilahi mapana ya taifa viongozi wa chadema hawapaswi kurudi nyuma kwenye maamzi ya trh 11
 
Reactions: Tsh
Umeandika uzi mzuri sana. Vipi waliomuua Mawazo kesi yao inaendelea vipi? Vipi waliomshambulia Lissu kesi inaendaje?

Tusubiri wafe wengine ndio tupaze sauti?
 
Post bora kabisa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Maua yako hayooo ๐ŸŽท๐ŸŽธ๐ŸŽค
 
Umeandika uzi mzuri sana. Vipi waliomuua Mawazo kesi yao inaendelea vipi? Vipi waliomshambulia Lissu kesi inaendaje?

Tusubiri wafe wengine ndio tupaze sauti?
Mkuu utaiongoza battalion ya kutokea barabara gani siku ya maandamano yetu S23 ?!! ๐Ÿคฃ
 
Vipaumbele vya viongozi binafsi nje ya msimamo wa chama kwa ajili ya wanachama ni nini? Hili jibu ndo lilighairisha yale maandamano.
 
Kibao wamemtoboa macho yaani ukatili mtupu
 
Acha ujuha wewe chawa mtiifu. Matukio yote hayo yalianza na watu wakawa watulivu kutafuta amani. Sasa kwa mfululizo wa matukio ya utekaji wa sasa na mauaji haya lazima watu wapaze sauti kupinga uovu huu. Maana yanazidi kutokea na serikali kupitia wizara husika ni kama haziwajibiki kudhibiti hali hii. Kitu kinachopelekea watu waaminio kwamba serikali inahusika kwenye uovu huu.
 
Kuna kitu kinaitwa accumulative provocations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ