Aliuawa Mwangosi haikusemwa Rais Must Go, akauawa Mawazo haikusemwa Rais Must Go na hata alivyoshambuliwa Lissu. Nadhani Hoja iko hapo!

Kwenye damu ya Ally iliyomwagika, na mateso waliyoyaoata waliotrkwa, Msigwa ana sehemu yake. Damu hii, Msigwa naye atailipia.
.
 

Attachments

  • 1725891704170.jpeg
    44.3 KB · Views: 1
Ni swali nzuri sana na hoja ya msingi! Je unataka wauwawe watu kiasi gani ndo iwe mada!? Au unataka wakosoaji kiasi gani wapotee ndipo serikali izungumze!?
 
Si Rahisi kumtoa Rahisi kama pholishi na gheshi liko upande wake
 
Reasoning ya hovyo sana hii, so ulitaka iweje maana hata hao waliouwawa unawataja kana kwamba walistahili kufa. Nakuombea wewe ufe haraka, huenda unaona kuuwawa kikatili ni haki ya watanzania, Ufe mapema bro
 
Unaelewa nini maana ya Rais must go?
 
Hii ni kauli mbiu ........wameweka mtego na wewe umeingia mzima. Raisi must go -Kupitia kupiga kura kwa wingi hapo 2025.....kuepusha ili balaa la utekaji 😀 😀
 
CHADEMA wana udini?
Kwamba , akiuawa wa dini fulani wanakaa kimya ila dini hii wamekuwa wakali?
 
Bwashee Dini siyo Jina😀
Sawa mtumishi , mimi nimefunzwa vibaya.
Huu utetezi nimeona huko middle east , sasa joni-mbatizaji unauleta Tanganyika.
Magaidi wa kiislamu , Ismaic terror of iran, Mujahidin, Al Quade, Boko Haram, Al Shabab wenyewe wanasema si waislamu, hayo ni majina tu, sikutegemea kama kuna mtanzania aliyefika darasa la nne naye anaweza kuwa na akili kama za hao watu kusema ni jina tu.

Basi naomba majina ya mapadri walau watatu
1. Padri Abdulrahaman al Sheikh Maukhtum.
2. Sista Mwanaisha Muumin Mwinjuma.
3. Mchungaji Osama Bin Khader Hadar.

Naomba majina ya mashehe hawa.
1. shikh Mathew Jesus Raphael.
2. Maulama Miriam Magdalena Yakobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…