Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

Wewe kenge elewa kuwa maendeleo ni jambo la kila siku. Hakuna nchi isiyoendelea kufanya maendeleo. Unajua mwaka 1997 ilikuwa ni siku ngapi safari ya Dar - Mtwara kwa basi? Unajua kuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 watu walikuwa wanazungukia Kenya wakiwa wanasafiri Arusha - Mwanza kisa ubovu wa barabara? Unajua kuwa nchi ilipata uhuru ikiwa na watu 10m na leo tuko zaidi ya 60m?

Narudia tena kukusihi uache upumbavu.
 
Ni Kweli… na huyo mpumbavu ni ngumu kumpata kutokana na namna Tanzania ilivyoasiliwa

Kuhusu Somalia… haijawahi kuwa nchi Jeanie ale ni ni wabinafsi, violent na wana chuki tu

Hata pirates sio Kwa bahati mbaya
 
Haswa waislamu wa ccm ndiyo wapumbavu haswa wanaliangamizi taifa
 
Ni Kweli… na huyo mpumbavu ni ngumu kumpata kutokana na namna Tanzania ilivyoasiliwa

Kuhusu Somalia… haijawahi kuwa nchi Jeanie ale ni ni wabinafsi, violent na wana chuki tu

Hata pirates sio Kwa bahati mbaya

..kuna kipindi Somalia ilikuwa taifa adhimu na la kutegemewa Afrika.

..Mwalimu Nyerere na Iddi Amin walipokorofishana mwaka 1972 aliyewasuluhisha ni Raisi Siad Barre wa Somalia.

..Watanzania tusibetweke na utulivu ulioko nchini.

..Lazima kila wakati tuhakikishe kwamba hatuchezei amani na utulivu ulioko nchini.

..Tuachane na dhuluma na ukatili dhidi ya wapinzani, na wengine katika nchi yetu.

..Tuhakikishe vyombo vya usalama, na mahakama zetu, zinatenda HAKI wakati wote.
 
Kwani kuna kitu gani tumebakiza kuwa Zairous.

1. Dikteta tunae na tunacheka naye (yule mwingine alivuta),

2. Tunayo gbadolite yetu kule chato na nyingine inajengwa kule upande wa pili,

3. tumenunua ndege mupyaa G700 kitu ndani ya box kama hukuiona ikitua kule Adis, shauri yako

4. Machawa ndiyo usiseme. Hata yule chawa mkubwa sanaaa, jana kakazia: sijui nani tunae na tunaenda naye. Hata Sijui wanaenda naye wapi

5. Teuzi zisizo kichwa wala miguu siku hizi ni kama zote.

6. Nchi imebaki kuzikwa tu. Sasa sijui tutasafirishwa au tutazikwa hapa hapa.
 
Umeiweka vizuri sana

But nature ya issues zetu ni siasa… siyo Dhuluma kubwa na rasilimali

And what we need to prevent ni injustice na hasa pale nguzo za haki zitakapoanguka

We need to prevent that Kwa cost yoyote

ILA kulinganisha na drc si sawa
 
Mkuu Nazi...

Narudia kusema ulisahau kusema nyuma ya Serikali kuna Jeshi linaloilinda Serikali yaan hapo fanya vyovyote huruki hio ipo wazi ndio maana mwenyekiti wa CCM ndio Mkuu wa Majeshi yote Nchini maana yake unaelewa au hauelewi nikueleweshe?
Naitwa Mkunazi Njiwa kaka.....

Mikunazi si nazi mkuu....

Nikuwahi kukuelewesha kuwa mapinduzi ya kijeshi huwa hayafanywi na jeshi lote.....kwani mkuu wa majeshi ndiye anayeondolewa kwa nguvu na wanajeshi wachache waasi WALIOJIPANGA VYEMA....

Mobutu Sese Seko alikuwa ni mwanajeshi mwasi aliyeimpindua AMIRI JESHI WAKE MKUU...

Serikali ya CCM haikuwahi kushika awamu za utawala kupitia mapinduzi ya kijeshi ya wanajeshi WAASI kama KUKU NG'BENDU WA ZABANGA.....

#JMT kwanza kwa njia yoyote iwayo!
 
Umeandika kila kitu, sina cha kuongeza
 

..katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kwamba tukio kama la jaribio la kumuua Tundu Lissu linaweza kutokea Tanzania. Lakini ndio hivyo limeshatokea na mengine mengi.

..Na tukio lile kuna Watanzania waliliunga mkono, na wanaliunga mkono hata hivi sasa, kwa kuamini kwamba wanamtetea na kusimama na kiongozi wao.

..Mifumo yetu sio imara kiasi hicho. Hatujajenga mifumo imara inayoweza kudhibiti kiongozi ambaye amekengeuka asituvuruge.

..Nchi ambazo zimesalimika na machafuko ni zile ambazo mifumo yake ni imara na inatenda HAKI bila kubagau, na inatoa fursa kwa kila raia.
 

..umesahau Mapinduzi ya Zanzibar.

..chanzo chake ni dhuluma katika chaguzi zilizokuwa zikifanyika Zanzibar.

.
 
If the system did it… angekua kafa

We all condemn what happened Kwa Lissu na hata wale wa enzi zile wengi tu

Kwa 80s and 90s pia Kulikua na shida zake

But if you ask me…. It is better now than 8 years ago
 
Um
Umeandika/umenena vema! Take 5! Upo sahihi ndg, tazama wamemwagwa chawa wengi hata humu jukwaani. Wao imekuwa kama Ibada, kusifu na kuabudu ushezi na upumbavu. Critical thinnkers hujenga taifa, na sio foolish thinkers.
 
Um


Umeandika/umenena vema! Take 5! Upo sahihi ndg, tazama wamemwagwa chawa wengi hata humu jukwaani. Wao imekuwa kama Ibada, kusifu na kuabudu ushezi na upumbavu. Critical thinnkers hujenga taifa, na sio foolish thinkers.
Na mbaya zaidi hao ndo siku unawakuta kwenye nafasi za maamuzi. We are fucked up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…