Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

Anayechezea amani ya nchi ni CCM
 
..umesahau Mapinduzi ya Zanzibar.

..chanzo chake ni dhuluma katika chaguzi zilizokuwa zikifanyika Zanzibar.

.
Mapinduzi ya Zanzibar ni tofauti na aliyoyafanya Mobutu Seseseko.....

Wazanzibari waliamua kujitawala wenyewe na si utawala wa waarabu waliotoka kwao Oman wakiwa maswahiba wa serikali ya Uingereza.......

Huko kwao Oman pia walitawaliwa na wakoloni wa kireno kwa miaka 400....je walikuwa radhi na ukoloni huo wa kireno ?!!

Nasi waafrika hatukuwa radhi kutawaliwa na wageni wakoloni.....

#Viva Mapinduzi matukufu ya Zanzibar!
#Viva JMT!
 
Umenikumbusha enzi hizo JPM akiwa Waziri na akimpamba na kummwagia misifa Kikwete kupita kiasi.

"Wanasema eti unasafiri sana, kama unasifiri na unaleta mahela yanayojenga madaraja haya, bora usafiri kila siku tu" (Kwa kuparaphrase)
 
 
 

..Wazanzibari nao wanadai Husseni ni Mtanganyika hatakiwi kuwaongoza.
 
Umenikumbusha enzi hizo JPM akiwa Waziri na akimpamba na kummwagia misifa Kikwete kupita kiasi.

"Wanasema eti unasafiri sana, kama unasifiri na unaleta mahela yanayojenga madaraja haya, bora usafiri kila siku tu" (Kwa kuparaphrase)
Ndo imesabisha tufike hapa. Anayesifia wenye mamlaka anazawadiwa cheo na nafasi nyeti za maamuzi.

Wanaojua kujipendekeza ndo wanapewa nafasi. Matokeo yake nchi inaongozwa na wasio na akili na maarifa kwa kuwa wenye akili na maarifa wamewekwa pembeni na mfumo wa hovyo wa kutukuza uchawa.

Kwa nini badae msigeuzwe kuwa shamba la bibi kama Congo?

It's just a matter of time.
 
Hadi pm katelephone nae nimemuona kavaa shati lenye picha ya mama...niliumia sana
Sasavi ni either uvae kofia imeandikwa SSH au fulana/ shati lenye picha ya Samia.

Ukiongea ni kumtaja mama kila baasa ya sentensi 5. Nyimbo ni za kumsifu Samia tu. Michango bungeni lazima umtaje Samia.

Hii nchi ni kama tumeshakuwa Congo ya Mobutu tu. Bado baadui wetu kuanza kuitawala rasmi tu na kuivuruga.
 
..Wazanzibari nao wanadai Husseni ni Mtanganyika hatakiwi kuwaongoza.
Zanzibar ni kisiwa cha wahamiaji.....asilimia ya damu 80% mishipani mwao imetoka makabila ya iliyokuwa ardhi ya Tanganyika....

Mzanzibari anayeizodoa Tanganyika ujue huyo damu yake ilitokea COMORO ,KENYA ama MALAWI...hajataka/haikubali "Assimilation"...kifupi ana UASI wa sirisiri.....

Wengi wa Wazanzibari wanampenda ,kumthamini na kumhitaji MTANZANIA mwenzao Mh.Rais Dr.Hussein Ali Mwinyi.....
 
Hakika !!!
 

..Wazanzibari hawataki kuchangamana na Watanganyika. Ndio maana uliona Wamaasai wakifushwa Zanzibar.
 
Hakika umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…