Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

..Wazanzibari hawataki kuchangamana na Watanganyika. Ndio maana uliona Wamaasai wakifushwa Zanzibar.
Tanganyika haipo...watanganyika hawapo kisheria.....

Mama Samia ni mzanzibari hataki vipi kuchangamana na Wabara?!!

Abdul ni mzanzibari na wale marafiki zake Mollel ,Lota ,Simon ni wakojani na si Wamasai wa Monduli eee?!!!

Be serious mkuu wangu !
 
Hadi pm katelephone nae nimemuona kavaa shati lenye picha ya mama...niliumia sana
Ujinga wako umekupa maumivu yasiyo ya lazima ?!!!

Siasa yetu ni ya kipekee duniani....

Marais wetu ni wa kipekee duniani...hatufanani na hatutaki kufanana na nchi zingine.....

Rais wetu ana kofia mbili.....usishangae mteule wake na mtendaji wake mkuu akivaa HIVYO ulivyoshangaa.....

#Tanzania ni nchi ya ujamaa wa kiafrika!
 
Usimfungamanishe Mungu na wachawi.
Iblis Azaazil anapewa BARAKA na MUNGU kila uchao.....wewe huoni anavyotamba ?!!!

Ujinga utawatoka lini?!!

Mwenyezi Mungu ni "ar rahmaan" kwa viumbe vyake vyote "regardless of human ideological differences"...


#CCM ni imani ya watanzania !!
 
Kwa ujinga wa watanza giza bora tufike huko ili tuheshimiane baada ya twimbwiri.
 
Hakuna kitu kama hicho... wala haitatokea
 
Tanganyika haipo...watanganyika hawapo kisheria.....

Mama Samia ni mzanzibari hataki vipi kuchangamana na Wabara?!!

Abdul ni mzanzibari na wale marafiki zake Mollel ,Lota ,Simon ni wakojani na si Wamasai wa Monduli eee?!!!

Be serious mkuu wangu !

..nazungumzia raia wa kawaida wa Zanzibar hawataki kuchangamana na Watanganyika.

..vigogo walioko madarakani wanaelewana, tatizo liko kwa raia wa kawaida wa Zanzibar.

NB:

..Tanganyika ni shamba la Wazanzibari kuchuma, ndio maana Samia na vigogo wenzake wanaipenda.

Siku ukiwatoa Samia na genge lake ktk channel za kuchuma watarudi kwenye asili yao ya kuchukia Watanganyika.
 
yaani wee acha tuu, gerson msigwa anaongea kibabe kama vile ni katibu wa chama, pesa zote ni za raisi,walipa kodi hawana mchango wowote
 
yaani wee acha tuu, gerson msigwa anaongea kibabe kama vile ni katibu wa chama, pesa zote ni za raisi,walipa kodi hawana mchango wowote
Hakunaga mtu mjinga kama yule. Alafu ndo anakuwa KATIBU MKUU eti. Nafasi ya juu kabisa kwenye utumishi ambayo kazi yake ni kuchambua masuala nyeti ya Kisera from think tanks na kushauri mamlaka.
 
Dah Congo huruma sana…nchi ina utajiri wa kulisha bara lote la Africa…
Unapaswa kujihurimia na wewe pia.Tulipo Tanzania ni a slightly lower stage tu, very soon tutaifikia Congo.Na kama Watanzania hatukuamka,we are heading towards DRC Congo.Mamiziki ya Bongo Flava haya ni dalili tu kwamba vijana wamekata tamaa na wanaibuka na ujinga wowote bora tu mkono uende kinywani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…