Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

Muda utaongea. Uzuri JF ni kisima cha kumbukumbu. Wakati utafika tutakumbushana
 
Mnavyo iombea mabaya Tz, halafu ndio kwanza Mungu anaibariki CCM inazidi kutawala nchi, hakuna maandamano hakuna kelele wapinzani wote wameufyata wamebaki kutukanana wenyewe kwa wenyewe kisa uenyekit 🤣💩
Mkuu pole sana, nadhani umeongea kama mwana ccm ila mtoa mada ameandika kama mtanzania.
 
Dar kuna life fulani kama Kinshasa 😄

Ova
 
Hicho unacho kitamani kitokee Tz hakiwezekani... Misingi ya siasa jamii na uchumi wa WaTz haufanani na nchi yoyote Africa, hivyo Tz inaendelea kubaki nchi bora ya kuigwa kwasababu ya misingi na falsafa thabiti inayojipambanua vzuri...
Mkuu hatuiombei, nikwamfano uwe na binti malaya afu umpe angalizo kwamb kwa mwenendo huo atapata mimba au HIV.Je hapo utakuwa unamwombea yamkute?
 
CCM wapo kwaajili ya maslahi ya matumbo yao na chama chao pia...Sio kwa maslahi ya taifa hili la kizazi cha sasa na cha badae. Ova.
 
Mtoa mada ujue hii tz tunamtazamo tofauti kabsaa linapokuja suala la uzalendo.
Tuseme kwamba watz neutral wasiofungamana na vyama hao automaticaly wanachukiwa na team mapambio.
Hicho ulichokiandika ni ukweli 💯, tukumbuke hata CDF alionya jambo la namna hiyo.
Laiti kile alichosema CDF angesema raia wa kawaida angeitwa na madam Tulia kwenye kamati yao ya fitina.

Hapo tunapata jibu kwamba wanaokupinga wanapinga pia angalizo lililotolewa na wenye dhamana ya kuilinda mipaka ya tz yaani JWTZ.
Ni hitimishe kwa kusema hilo tatizo ni kama cancer iliyokwisha kuenea kwenye vital organ hivyo kukata(kuiondoa ccm) sio suluhisho.
Suluhisho ni madaktari wenye uwezo wa kulitibu tatizo kuokoa jahaz. Na Madakri hao ni JWTZ, TISS, UHAMIAJ NA JESHI. LA POLISI chini ya CDF kujikita kwenye taalums zao.
Ila kama hao hawatafanya kazi yao bhasi tujiandae kisaikolojia.
 
Na
Na huu ndo ukweli wenyewe
uchawa hakika ni janga kwenye taifa lolote lile. Tutakuja kushtuka usingizin na kukumbuka shuka wakati kumeshakucha. Yajayo ni makubwa zaidi ya haya sijui uzao wetu ujao utapitia yapi.
 
Nafkiri unaongelea wapumbavu wenzio mlioko CCM ukiwajumuisha kwenye utanzania..
Ulivyo zwazwa umeshindwa kujitenga na upumbavu ulio ndani ya nerves zako kwa kutotambua kuwa CCM imetulea "think tanks" toka chipukizi.....hakuna chama chenye vijana wenye akili kama hicho cha kijani ,sikutegemea kuwa upumbavu kujua kuwa Iblis Azazeel alirehemewa na Mungu kuzidi kuwapumbaza nyinyi wapumbavu mliopumbaa.....

#Karibu Mandi hapa Lumumba tunywe kahawa ya usiku wa manane!
 
CCM ni JANGA la kitaifa.
 
Mbona mzito kuelewa ?!!

Wazanzibari ni watanganyika waliohamia huko miaka mingi.....

Unawajua BANYARWANDA-BANYAMULENGE ?!!

Hawa ndugu zao M 23....leo ni wakongomani wenye asili ya Rwanda....

Tuje Kwa wazanzibari.....hivi tafiti yako ina usomi ndani yake ?!!
Kama ndiyo udadavuzi wake ni lazima utagusa kutambua kuwa wanaowachukia watanganyika elimu zao ndogo ,kama ni kubwa basi utambuzi na uelewa wa mambo ni mdogo.....

Ni sawa na popote tu pale ambako "illiterate and ordinary persons hate others without any significance".

Alaaaaa
 
 
 
You are hurrying your head in the sand,.Dalili zote linaonyesha kwamba we are heading towards Congo.

Kama unaona yanayotokea Congo ni sawa you have serious problems in your thinking.
Kinachotokea Congo ni matatizo yao wenyewe mengine ya miaka na mengine ya hivi karibuni sio tatizo aliloleta Mobutu kama mnavyodai hapa. Watutsi hawakupewa uraia tangu enzi za ukoloni wa Ubelgiji na (2) kosa la pili kwa Congo ni kutowatambua Watutsi kama jamii ya Kongo- linakuaje kosa la Mobutu peke yake? Kabila baada ya kuingia madarakani akakusanya vikundi vya waasi wakawaingiza kwenye jeshi la FARDC kitu ambacho kimefanya jeshi kuwa dhaifu linakuaje kosa la Mobutu? FARDC kutolipwa vizuri linakuaje kosa la Mobutu? M23 imeundwa mwaka 2009 hilo nalo liwe tatizo la Mobutu. Hamko siriasi, Tanzania hatuwezi kufikia huko pia muwe mnasoma historia na kuelewa muache kutuna tukana watu mitandaoni bila kuwa na maarifa.
 
Hapa nadhani una hoja nzuri sana, lakini ukumbuke hata vyama pinzani ni wa Tanzania kama walivyo wa CCM.
Kwahiyo hoja hapa iwe watu wabadilike namna ya kufikiria. Na pia kuna haja ya ya kupitia upya sheria za uteuuzi kwa maana Mkuu wa nchi apunguziwe kuteua.
 
Umejiona ulivyo mjinga sasa? Hata uzi hujauelewa unajifanya unaropoka humu.

Ni either umetumwa au wewe ni kilaza ambaye hujaelewa mantiki ya uzi na kuishia kupuyanga.

Kama unadhani issue inayosemwa na uzi hapa ni M23 basi umekosea sana. Kama unataka kuelewa kweli soma vizuri nyuzi zote mbili then tizama hiyo documentary ya Mobutu YouTube then ndo urudi kutoa mawazo yako.


 
Utasemaje vyama vya upinzani ni kama CCM? Kuna chama cha Upinzani kimewahi kuongoza Serikali nchi hii hadi unasema with confidence kuwa ni kama CCM?
 
 
Vijana tafuteni ajira mitandaoni humu hamtafaidika na chochote zaidi ya kuandika mambo ya kusadikika 💩💩...
Huo muda mnaopoteza kuiombea Tz mabaya watu wanafanya maisha na yakaenda vzuri tu... Wewe ni kizazi chako mtaishia kuwasema watu ambao walikuwa bize kujenga familia zao na nchi...
 
Kwa hiyo M23 ni wananchi wamekosa kusikilizwa?.. Tanzania just need a new flavour tu, unless kama kuna mpango wa kuandaa kundi la kulalamika kama Esstern Congo.
M23 ni matokeo ya kukosa a strong leadership ambayo inajali wananchi wake.Rwanda,Uganda ,Marekani, Israel na Belgium wasingepata nafasi in a strong Congo Mfano mzuri ni Burkina Faso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…