Alivyokamtwa Lema kwenye ndege ni sawa tu alivyochukuliwa mzee Ali Kibao kwenye basi

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato.

Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya Tanzania sio kabisa na haiwezekani

Msomaji wangu najua unajua yakuwa madereva wengi wa mabasi ya Tanzania sio lazima UFIKE hata kidato Cha SITA yaani hata Darasa la Saba wewe unaendesha ndinga ukitaka kuamini nenda usafiri mabasi kama ya capriconi ndo utanielewa

Swali linakuja inakuaje Ally Kibao alishushwa kwenye bus na kuchukuliwa ila baada ya kushushwa yule dreva wa bus na kondakita walitoa taarifa kwa familia ya mzee ally kibao? Upeo huo waliupata wapi?

Ninajiuliza wasomi kama RUBANI wa ndege aliyokua amepanda Lema AMESHINDWA Nini kutoa TAARIFA hata mtandaoni yakuwa abiria wake amechukuliwa na polisi?

Mhudumu wa ndege Sina sahaka nae je abiria wote mlioshuhdia Mh Lema alishishwa mlishindwa kutoa USHIRIKIANO hata wa kutoa TAARIFA?

Ni nchi pekee ya Tanzania mijitu inayoonekanika imestabarabika na imelimika kumbe ni mijinga na mipumbavu ni heri kusafiri na bus kuliko ndege

Soma Pia: Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Shame on you MLIO shuhdia Lema akikamatwa na mkakaa kimnya.
 
We taarifa ulizipataje?
 
Ni nchi pekee ya Tanzania mijitu inayoonekanika imestabarabika na imelimika kumbe ni mijinga na mipumbavu ni heri kusafiri na bus kuliko ndege
Jinyonge kabisa mkuu. Watu wanakuudhi namna hiyo wewe upo tu unakuja kutoa povu huku mitandaoni? Ingekuwa ni mimi ningeshajitundika zamani.
Hatupendagi ujinga sisi!
 
Ila katika siku nimeona wana Chadema wamechukia ni leo 😂

Maandamano pasipo nguvu ya wananchi ni ngumu kufanikisha.
Ninakubaliana na wewe.
Swali ambalo ninge shukuru kupata jibu lake ni hiyo "nguvu ya wananchi" inavyo patikana

Kwa nini hawa CHADEMA hawana nguvu ya wananchi; kama ni kweli hawana.
 
Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato.

Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya Tanzania sio kabisa na haiwezekani

Msomaji wangu najua unajua yakuwa madereva wengi wa mabasi ya Tanzania sio lazima UFIKE hata kidato Cha SITA yaani hata Darasa la Saba wewe unaendesha ndinga ukitaka kuamini nenda usafiri mabasi kama ya capriconi ndo utanielewa

Swali linakuja inakuaje Ally Kibao alishushwa kwenye bus na kuchukuliwa ila baada ya kushushwa yule dreva wa bus na kondakita walitoa taarifa kwa familia ya mzee ally kibao? Upeo huo waliupata wapi?

Ninajiuliza wasomi kama RUBANI wa ndege aliyokua amepanda Lema AMESHINDWA Nini kutoa TAARIFA hata mtandaoni yakuwa abiria wake amechukuliwa na polisi?

Mhudumu wa ndege Sina sahaka nae je abiria wote mlioshuhdia Mh Lema alishishwa mlishindwa kutoa USHIRIKIANO hata wa kutoa TAARIFA?

Ni nchi pekee ya Tanzania mijitu inayoonekanika imestabarabika na imelimika kumbe ni mijinga na mipumbavu ni heri kusafiri na bus kuliko ndege

Soma Pia: Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Shame on you MLIO shuhdia Lema akikamatwa na mkakaa kimnya.
Tanzani hii imejaa watu wenye roho mbaya kupita kiasi...

Nadhani zile roho za kiafrika chanzo chake ni Tanzania.
 
Ninajiuliza wasomi kama RUBANI wa ndege aliyokua amepanda Lema AMESHINDWA Nini kutoa TAARIFA hata mtandaoni yakuwa abiria wake amechukuliwa na polisi?

Mhudumu wa ndege Sina sahaka nae je abiria wote mlioshuhdia Mh Lema alishishwa mlishindwa kutoa USHIRIKIANO hata wa kutoa TAARIFA?
Watu waliogopa wewe hukusikia hotuba ile mbele ya mapoti? Na juzi alikaa vikao maalumu na Mkuu wa mapoti?

Sema tumewapiga chenga walipanga watuvunje miguu...
 
Ninakubaliana na wewe.
Swali ambalo ninge shukuru kupata jibu lake ni hiyo "nguvu ya wananchi" inavyo patikana

Kwa nini hawa CHADEMA hawana nguvu ya wananchi; kama ni kweli hawana.
Nitakupa sababu moja simpo kabisa. Tanzania ni nchi ya amani, na wananchi wake (hiyo nguvu ya wananchi) hawajazoea vurugu. Kwa hiyo mnapotangaza maandamano yenye viashiria vya uvunjifu wa amani na kuleta vurugu (eti kwa kuwa kenya wanafanya hivyo), usitegemee kupata nguvu yoyote ya umma kuwaunga mkono.
Na sababu ya hili ni ya kihistoria. Sisi tulipata uhuru wetu kwa kujieleza na kujenga hoja, kenya walipata uhuru wao kwa kupigana na kumwaga damu. Hiyo ni tofauti kubwa sana.
 
Wasingesambaza police wenye silaha kali na vitisho kila mahali , hapo ndio ungekua na nguvu yakusema chadema hawakuungwa mkono na wananchi kwa sababu ulizotaja.
 
Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato.

Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya Tanzania sio kabisa na haiwezekani

Msomaji wangu najua unajua yakuwa madereva wengi wa mabasi ya Tanzania sio lazima UFIKE hata kidato Cha SITA yaani hata Darasa la Saba wewe unaendesha ndinga ukitaka kuamini nenda usafiri mabasi kama ya capriconi ndo utanielewa

Swali linakuja inakuaje Ally Kibao alishushwa kwenye bus na kuchukuliwa ila baada ya kushushwa yule dreva wa bus na kondakita walitoa taarifa kwa familia ya mzee ally kibao? Upeo huo waliupata wapi?

Ninajiuliza wasomi kama RUBANI wa ndege aliyokua amepanda Lema AMESHINDWA Nini kutoa TAARIFA hata mtandaoni yakuwa abiria wake amechukuliwa na polisi?

Mhudumu wa ndege Sina sahaka nae je abiria wote mlioshuhdia Mh Lema alishishwa mlishindwa kutoa USHIRIKIANO hata wa kutoa TAARIFA?

Ni nchi pekee ya Tanzania mijitu inayoonekanika imestabarabika na imelimika kumbe ni mijinga na mipumbavu ni heri kusafiri na bus kuliko ndege

Soma Pia: Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Shame on you MLIO shuhdia Lema akikamatwa na mkakaa kimnya.
Nicole Mboye kakamatiwa wapi?
 
Watu waliogopa wewe hukusikia hotuba ile mbele ya mapoti? Na juzi alikaa vikao maalumu na Mkuu wa mapoti?

Sema tumewapiga chenga walipanga watuvunje miguu...
ila kwa hili Samia ajitathmini. Sijaona ccm kama ccm wakilipinga hili, zaidi ya sa100 na jeshi. Ninaposema ccm namaanisha wananchi wengi mtaani ambao ni wana au mashabiki wa ccm, acha hawa wa kulipwa mitandaoni. Kama anakitengo cha intelijensia naangalia/pima wanavyojikwamua kwa zigo la kujitengezea
 
Nitakupa sababu moja simpo kabisa. Tanzania ni nchi ya amani, na wananchi wake (hiyo nguvu ya wananchi) hawajazoea vurugu. Kwa hiyo mnapotangaza maandamano yenye viashiria vya uvunjifu wa amani na kuleta vurugu (eti kwa kuwa kenya wanafanya hivyo), usitegemee kupata nguvu yoyote ya umma kuwaunga mkono.
Na sababu ya hili ni ya kihistoria. Sisi tulipata uhuru wetu kwa kujieleza na kujenga hoja, kenya walipata uhuru wao kwa kupigana na kumwaga damu. Hiyo ni tofauti kubwa sana.
Mkuu 'Umkhonto', naamini wewe unaamini hivyo ulivyo elezea. Mimi siamini hivyo hata mara moja.
Kwanza hiyo dhana ya 'Tanzania ni nchi ya amani" maana yake ni nini hasa? Amani ni kutekwa watu, kupotezwa na kuuawa? Hii ni amani ya namna gani?
"WaTanzania hawajazoea vurugu"? Kuna binaadam anaye zoea na kukubali kuvurugwa?

Angalia upotofu mkubwa unao uonyesha: eti "usitegemee kupata nguvu yoyote ya umma kuwaunga (CHADEMA) mkono"? Wewe huu uhakika umeupata wapi. Kwa vile leo gharama kubwa imetumika kuzuia maandamano ndiyo kiwe kigezo cha kujivuna hivi? Hivi huelewi ni kiasi gani viongozi wako huko CCM walivyo na hofu kuu sana ya haya yanayo endelea nchini, au ni kujipa tu moyo unapo ingia humu JF.
Wewe unadhani umma wa waTanzania umetulizana kama ulivyo kuwa umetulizana miaka yote? Huoni kabisa tofauti yoyote inayojiongeza kila siku mnavyo vuruga utulivu huo?

Ni hivi: Hakuna binaadam yeyote anayeweza kuwa mtulivu huku akiona maovu yanayo fanyika kila siku ndani ya nchi yake.

Hao Kenya unao watolea mfano, inaeleweka, hawajawahi kuwa na utulivu ndani ya nchi hiyo, kwa sababu ya ukabila na mauchafu mengine. Sasa mambo hayo hayo ndiyo CCM inayo yapalilia hapa kwetu, na bado watu kama wewe mnaamini waTanzania ni watulivu tu, hawajawahi kupigana popote!

'Umkhonto', wewe hukuchukulia tofauti kidogo na washabiki wenzio wa huko CCM mliomo humu JF, kwa sababu pamoja na ushabiki huo, lakini nadhani bado akili za kuchambua hali halisi ya nchi yetu bado unazo. Lakini kama huoni tunako elekea kama unavyoonyesha hapa, naona mambo yamezidi kuharibika zaidi huko ndani ya hicho chama.

Hii mitutu ya bunduki uliyo iona; halafu bado ukadhani Tanzania ni tulivu? Utakuwa unajidanganya mwenyewe.
 
Watu waliogopa wewe hukusikia hotuba ile mbele ya mapoti? Na juzi alikaa vikao maalumu na Mkuu wa mapoti?

Sema tumewapiga chenga walipanga watuvunje miguu...
Kuharibu amani ya nchi ni upunguani wa hali ya juu sana chadomo hamna akili ungevunjwa miguu jana leo nani angepeleka mkate kwako ? Kuweni na akili acheni kutumiwa
 
Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato.

Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya Tanzania sio kabisa na haiwezekani

Msomaji wangu najua unajua yakuwa madereva wengi wa mabasi ya Tanzania sio lazima UFIKE hata kidato Cha SITA yaani hata Darasa la Saba wewe unaendesha ndinga ukitaka kuamini nenda usafiri mabasi kama ya capriconi ndo utanielewa

Swali linakuja inakuaje Ally Kibao alishushwa kwenye bus na kuchukuliwa ila baada ya kushushwa yule dreva wa bus na kondakita walitoa taarifa kwa familia ya mzee ally kibao? Upeo huo waliupata wapi?

Ninajiuliza wasomi kama RUBANI wa ndege aliyokua amepanda Lema AMESHINDWA Nini kutoa TAARIFA hata mtandaoni yakuwa abiria wake amechukuliwa na polisi?

Mhudumu wa ndege Sina sahaka nae je abiria wote mlioshuhdia Mh Lema alishishwa mlishindwa kutoa USHIRIKIANO hata wa kutoa TAARIFA?

Ni nchi pekee ya Tanzania mijitu inayoonekanika imestabarabika na imelimika kumbe ni mijinga na mipumbavu ni heri kusafiri na bus kuliko ndege

Soma Pia: Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Shame on you MLIO shuhdia Lema akikamatwa na mkakaa kimnya.
Japanese uncensored
 
Wasingesambaza police wenye silaha kali na vitisho kila mahali , hapo ndio ungekua na nguvu yakusema chadema hawakuungwa mkono na wananchi kwa sababu ulizotaja.
Kwa nini wasisambaze polisi wenye silaha wakati chadema walijinadi kulianzisha mpaka Samia must go? Wasingetoa kauli za kijinga kama hizo hali ingekuwa tofauti kabisa.
 
Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato.

Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya Tanzania sio kabisa na haiwezekani

Msomaji wangu najua unajua yakuwa madereva wengi wa mabasi ya Tanzania sio lazima UFIKE hata kidato Cha SITA yaani hata Darasa la Saba wewe unaendesha ndinga ukitaka kuamini nenda usafiri mabasi kama ya capriconi ndo utanielewa

Swali linakuja inakuaje Ally Kibao alishushwa kwenye bus na kuchukuliwa ila baada ya kushushwa yule dreva wa bus na kondakita walitoa taarifa kwa familia ya mzee ally kibao? Upeo huo waliupata wapi?

Ninajiuliza wasomi kama RUBANI wa ndege aliyokua amepanda Lema AMESHINDWA Nini kutoa TAARIFA hata mtandaoni yakuwa abiria wake amechukuliwa na polisi?

Mhudumu wa ndege Sina sahaka nae je abiria wote mlioshuhdia Mh Lema alishishwa mlishindwa kutoa USHIRIKIANO hata wa kutoa TAARIFA?

Ni nchi pekee ya Tanzania mijitu inayoonekanika imestabarabika na imelimika kumbe ni mijinga na mipumbavu ni heri kusafiri na bus kuliko ndege

Soma Pia: Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Shame on you MLIO shuhdia Lema akikamatwa na mkakaa kimnya.
Kwani nani hajui kwamba Lema ni Mpinzani na Wapinzani mara zote wanaleta taharuki ikizingatiwa wanakiuka amri za Polisi? 😂😂😂😂

Ufanywe siasa mwenyewe (kula Yako) harafu mwingine ahangaike? Acha ujinga .

Anaenufaika na Lema ndio akasaisie Polisi
 
Back
Top Bottom