Alivyokamtwa Lema kwenye ndege ni sawa tu alivyochukuliwa mzee Ali Kibao kwenye basi

Ndege sio basi la abiria zimekuwa zikitekwa kushinikiza maraisi kuondoka.Air Tanzania ilishawahi kutekwa na wapinzani wa Nyerere wakimshinikiza aondoke madarakani

Sasa ukiona Lema kapanda ndege na slogan ya Samia must go ni tishio yakijirufia yale ya ndege kutekwa ili Samia must go ingekuwaje? Prevention is better than cure

Kuzuia maandamano ni bora kuliko kusubiri ohhh waandamane tuone kama hiyo slogan ya Samia must go itatimia au la

Pili mtu yeyote polisi wakiingia kumchukua kwenye ndege abiria hutakiwa kutulia sababu ni hatari kwao kuanzisha fujo vurugu au kuhoji wakati wewe sio mwanausalama.Wana usalama wote kwenye ndege huwa na taarifa na hachukuliwi kizembe.Polisi wanamchukua sababu ipi hiyo huwa sio kazi yao wala ya abiria waliomo kwenye ndege

Polisi hongereni kwa kazi proffesinal
 
Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato.

Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya Tanzania sio kabisa na haiwezekani

Msomaji wangu najua unajua yakuwa madereva wengi wa mabasi ya Tanzania sio lazima UFIKE hata kidato Cha SITA yaani hata Darasa la Saba wewe unaendesha ndinga ukitaka kuamini nenda usafiri mabasi kama ya capriconi ndo utanielewa

Swali linakuja inakuaje Ally Kibao alishushwa kwenye bus na kuchukuliwa ila baada ya kushushwa yule dreva wa bus na kondakita walitoa taarifa kwa familia ya mzee ally kibao? Upeo huo waliupata wapi?

Ninajiuliza wasomi kama RUBANI wa ndege aliyokua amepanda Lema AMESHINDWA Nini kutoa TAARIFA hata mtandaoni yakuwa abiria wake amechukuliwa na polisi?

Mhudumu wa ndege Sina sahaka nae je abiria wote mlioshuhdia Mh Lema alishishwa mlishindwa kutoa USHIRIKIANO hata wa kutoa TAARIFA?

Ni nchi pekee ya Tanzania mijitu inayoonekanika imestabarabika na imelimika kumbe ni mijinga na mipumbavu ni heri kusafiri na bus kuliko ndege

Soma Pia: Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Shame on you MLIO shuhdia Lema akikamatwa na mkakaa kimnya.
hahahaa kaandamana kwenye ndege? police bwana
 
Hujui sheria za anga

Anga ni sawa tu na ardhi
Mwanamke mfano akijifungulia kwenye ndege angani cheti cha kuzaliwa huandikwa mkoa au wilaya au nchi ndege muda huo ilikuwa .latitude na longitude alizaliwa cheti cha kuzaliwa husoma hapo

Kuandamana kwenye ndege inawezekana ni kwenye ardhi ya Tanzania iliyoko.angani

Anga la Tanzania ni sehemu ya ardhi ya Tanzania
 
Wamepuuzwa kw sababu ni vibaraka wa Mabeberu
Naona umeamua moja kwa moja kuwa chizi kamili mbele za watu. Hata ile chembe ndogo ya fahamu iliyo kuwa imebaki kichwani sasa unaitupilia mbali.
Hii inaashiria jambo moja tu, kwamba hakuna amani tena ndani yenu. Hebu mwangalie Bi 'Chura Kiziwi' alivyo chuja ghafla!
 
Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato.

Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya Tanzania sio kabisa na haiwezekani

Msomaji wangu najua unajua yakuwa madereva wengi wa mabasi ya Tanzania sio lazima UFIKE hata kidato Cha SITA yaani hata Darasa la Saba wewe unaendesha ndinga ukitaka kuamini nenda usafiri mabasi kama ya capriconi ndo utanielewa

Swali linakuja inakuaje Ally Kibao alishushwa kwenye bus na kuchukuliwa ila baada ya kushushwa yule dreva wa bus na kondakita walitoa taarifa kwa familia ya mzee ally kibao? Upeo huo waliupata wapi?

Ninajiuliza wasomi kama RUBANI wa ndege aliyokua amepanda Lema AMESHINDWA Nini kutoa TAARIFA hata mtandaoni yakuwa abiria wake amechukuliwa na polisi?

Mhudumu wa ndege Sina sahaka nae je abiria wote mlioshuhdia Mh Lema alishishwa mlishindwa kutoa USHIRIKIANO hata wa kutoa TAARIFA?

Ni nchi pekee ya Tanzania mijitu inayoonekanika imestabarabika na imelimika kumbe ni mijinga na mipumbavu ni heri kusafiri na bus kuliko ndege

Soma Pia: Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Shame on you MLIO shuhdia Lema akikamatwa na mkakaa kimnya.
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Sema waliona lema akifanywa hamna inawezaleta kelele mingi na maandamano...
Ashkuru umaarufu umemsevu ingebaki yukowapi lema😔
 
Back
Top Bottom