Alivyokamtwa Lema kwenye ndege ni sawa tu alivyochukuliwa mzee Ali Kibao kwenye basi

Ndege sio basi la abiria zimekuwa zikitekwa kushinikiza maraisi kuondoka.Air Tanzania ilishawahi kutekwa na wapinzani wa Nyerere wakimshinikiza aondoke madarakani

Sasa ukiona Lema kapanda ndege na slogan ya Samia must go ni tishio yakijirufia yale ya ndege kutekwa ili Samia must go ingekuwaje? Prevention is better than cure

Kuzuia maandamano ni bora kuliko kusubiri ohhh waandamane tuone kama hiyo slogan ya Samia must go itatimia au la

Pili mtu yeyote polisi wakiingia kumchukua kwenye ndege abiria hutakiwa kutulia sababu ni hatari kwao kuanzisha fujo vurugu au kuhoji wakati wewe sio mwanausalama.Wana usalama wote kwenye ndege huwa na taarifa na hachukuliwi kizembe.Polisi wanamchukua sababu ipi hiyo huwa sio kazi yao wala ya abiria waliomo kwenye ndege

Polisi hongereni kwa kazi proffesinal
 
hahahaa kaandamana kwenye ndege? police bwana
 
hahahaa kaandamana kwenye ndege? police bwana
Hujui sheria za anga

Anga ni sawa tu na ardhi
Mwanamke mfano akijifungulia kwenye ndege angani cheti cha kuzaliwa huandikwa mkoa au wilaya au nchi ndege muda huo ilikuwa .latitude na longitude alizaliwa cheti cha kuzaliwa husoma hapo

Kuandamana kwenye ndege inawezekana ni kwenye ardhi ya Tanzania iliyoko.angani

Anga la Tanzania ni sehemu ya ardhi ya Tanzania
 
Wamepuuzwa kw sababu ni vibaraka wa Mabeberu
Naona umeamua moja kwa moja kuwa chizi kamili mbele za watu. Hata ile chembe ndogo ya fahamu iliyo kuwa imebaki kichwani sasa unaitupilia mbali.
Hii inaashiria jambo moja tu, kwamba hakuna amani tena ndani yenu. Hebu mwangalie Bi 'Chura Kiziwi' alivyo chuja ghafla!
 
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Sema waliona lema akifanywa hamna inawezaleta kelele mingi na maandamano...
Ashkuru umaarufu umemsevu ingebaki yukowapi lema😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…