Aliye jirani na Kocha Mbovu kuwahi kutokea Taifa Stars Amunike anisaidie Kuniulizia Kwake haya Maswali yangu 11 tu tafadhali

Mocha kawasaidia kuwepo katika history na bado hamjitambui ..jiulizeni in wangapi walipita na hamkupita wakati kila mwaka mlikuwa na nafasi?
 
Kuna kitu ambacho sisi wapenzi wa soka hatukijui hasa mental fitness ya kikosi. Kocha ndie anayejua kila kitu mkuu muachie.
Utovu wa nidhamu wa Kocha huyumesababisha kuwaacha MKUNDE na AJIBU.
 
1. Kikosi cha jana dhidi ya Senegal alikipinga Yeye au alisaidiwa na akina Karia pamoja na Mwakyembe?

2. Ni kwanini ana Chuki sana na Wachezaji Nyota wanaotoka Klabu ya Simba Sports Club?

3. Kwanini alimpanga Beki David Mwantika ambaye alimuita kutoka Tanzania, hakuwa na Mazoezi ya pamoja na Wenzake, wala match Fitness na akampanga huku akimpanga Benchi Mchezaji Kiraka Erasto Nyoni?

4. Anaweza kunipa sababu ya Yeye kupenda kuwatumia Wachezaji kama Himid Mao na Mudathiri Yahaya katika Kiungo cha Ukabaji huku akimuacha na Kumchukia kabisa Natural Defensive Midfielder na ambaye yupo katika Kiwango cha juu Tanzania nzima kwa miaka kadhaa sasa Jonas Gerald Mkude?

5. Je zile Rafu za Kipumbavu ( Kiduduna ) walizokuwa wakizicheza akina David Mwantika, Faisal Salum na Himid Mao Yeye ndiye aliwatuma hivyo walikuwa wakitekeleza Maelekezo yake?

6. Je mpaka hivi sasa Kichwani mwake ana Kikosi chake cha Kwanza kiasi kwamba hata nikimuamsha tu Usiku wa Manane atanitajia bila matatizo yoyote?

7. Je baada ya Beki wake Aggrey Morris Kuumia alipaswa amuite Beki Abdi Banda ambaye alikuwa nae huko huko Kambini Misri au alipaswa amuite Beki David Mwantika ambaye hapo mwanzoni hakumjumuisha katika Kikosi chake kile cha Wachezaji 33 alioondoka nao?

8. Ni kwanini anawapenda sana Wachezaji Thomas Ulimwengu na Himid Mao kiasi kwamba hata kama wakiwa hawako katika Form au Majeruhi lakini Yeye ni lazima tu atawaita na kwenda nao popote pale ambapo Taifa Stars itaweka Kambi yake?

9. Je kati ya Thomas Ulimwengu na Rashid Mandawa ni Mchezaji gani ambaye Kiuhalisia na jinsi Mechi ilivyokuwa Jana alitakiwa ndiyo amuingize ili aweze kuleta Uhai au Mabadiliko katika Timu?

10. Kama tukiamua Kuangalia Mchezaji ambaye amepata Uzoefu wa Michuano mikubwa mikubwa ya Kimataifa je Kwake Yeye kati ya Mohammed Hussein Tshabalala kutoka Simba SC na Gadiel Michael kutoka Yanga SC ni nani angefaa na pengine hata Kumuanzisha katika Mechi ya Jana?

11. Tanzania tunajivunia sana Wachezaji wanaocheza Ligi Kubwa tena za Ulaya kama Samatta anayecheza KRC Genk ya Ubelgiji na Yousuf anayecheza Blackpool ya Uingereza ni kwanini ameamua tu Kumtumia Samatta na Wachezaji wengine wa Kulipwa ila wanacheza Klabu za hapa hapa barani Afrika zisizo na Mafanikio akina Msuva, Himid na Ulimwengu na akimuacha Yousuf benchini?

Mwisho kabisa akishanijibu haya Maswali yangu Kumi na Moja ( 11 ) naomba anisaidie pia kuniambia ni lini atatuachia Timu yetu ya Taifa Stars ili waje Makocha wenye Kuujua Mpira kuliko Yeye, wasio na Chuki wala Visasi kwa Wachezaji kabla Mimi na Wenzangu wenye Uchungu na Hasira kali dhidi yake hatujaamua Kumvizia pale Uwanjani JNIA akirudi na Timu kisha tumpopoe na Mawe na aione Tanzania hii Chungu Kwake!

Msisahau kumwambia kuwa mwana JamiiForums Mimi An Eagle a.k.a BRAINIAC namsalimia ila simkubali kabisa na aondoke tu.
We utakuwa sawa na akili za Nkamia tu,Amunike anamapungufu yake ila Tz tunamatatizo mengi kuliko Amunike, hatuna quality players,hatuna msingi wa soka......nashabiki kama wewe unamlilia mchezaji asiyejitambua kama Mkude aliyeitwa national team na kufanya mazoezi siku moja nakusingizia amecheza mechi nyingi anahitaji kupumzika,sasa Amunike angemwita wa nini?

Tz kufuzu Afcon tu inatosha kwenda kujifunza kwanza halafu tuje tujipange upya kama wenzetu waganda wenye akili walivyofanya.
 
Kwani tulishakua na mafanikio gani makubwa ili leo tuanze kumlaumu kocha.Tupunguze lawama wakati ukweli uko wazi kua uwezo wetu mdogo kila mahali zimebaki porojo tu.
Tz tumezidi unafiki na kufanya mambo kienyeji
 
Alikuwepo Mayanga,Charles bado majungu yaleyale tu,tuache unafiki
Sasa mkuu kuliko kumpa kocha kiazi mahela mengi ya mshahara sini bora tumpe hata kocha wa ndani angalau iyo hela ibaki ndani,,
Alafu makocha wa ndani sio lazima cherles,wapo wengi tu,,
 
Wataje maana Kayuni,Madadi ambao ndiyo wenye leseni A tayari washakuwa na national team,shida Tz ni misingi ya mpira ni sifuri,hatuna quality players
 
Africa's Top 10 on December's Fifa rankings (global position in brackets):

  1. Senegal (23)
  2. Tunisia (26)
  3. Morocco (40)
  4. Nigeria (44)
  5. DR Congo (49)
  6. Ghana (51)
  7. Cameroon (55)
  8. Egypt (56)
  9. Burkina Faso (61)
  10. Mali (64)
 
duh,,basi mkuu ni shida sana,,
Basi tuloge,,tumtafte mtu tukamzike ufukwe wa bahari,,tutest hivyo mkuu,,yani tanatest test tu mpaka ,,ahaaaa,,!!!,
Wataje maana Kayuni,Madadi ambao ndiyo wenye leseni A tayari washakuwa na national team,shida Tz ni misingi ya mpira ni sifuri,hatuna quality players
 
I

Fact! Hao wanaomponda Amunike watuambie hao makocha waliopita waliifikisha Stars Afcon mwaka gani.
WaTz huwa hatuna uwezo wa kufikiria vizuri,tunakurupuka sana,tunasahau kwamba kufuzu kumekuja baada ya Ahamad Ahamad kubadilisha mfumo kila kundi kutoa team 2,ingekuwa mfumo wa zamani angeenda Uganda tu,kwahiyo bado sisi hatukuwa na nafasi.

Wabongo wamezoea kuwapelekesha makocha sasa Amunike haingiliki,Jana Mbunge anasema eti walikutana na Amunike kwenye korido hakuwasalimia,sasa hiyo ni akili au matope,yule ni mgeni atawajua wangapi?
 
Kocha unamsingizia tu.Kiini cha tatizo la soka letu siyo makocha.Ndo maana tunaishia kubadli makocha kila uchao lakini hakuna kinachobadilika.Hata angepanga kikosi gani isingesaidia.Mpira ni uwekezaji wa muda mrefu ndugu, hautaki bla bla...!.Shida yetu "tunasoma msuli sisimizi tukitegemea Matokeo tembo".

Back
Top Bottom