Aliye jirani na Msanii Ney wa Mitego amuulize kama ana taarifa juu ya tukio zima la Mwandishi Jamal Kashoggi?

Aliye jirani na Msanii Ney wa Mitego amuulize kama ana taarifa juu ya tukio zima la Mwandishi Jamal Kashoggi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii.

Nawasilisha.
 
Kagame kwa ubora wake .

Kagame katika Uzi huu anaingiaje? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwajibu Kunya / Hovyo / Mbovu / Shombo halafu baadae mnanilalamikia na kunichukia kama siyo hata kuninunia.
 
Kuna Watu safari za kwenda Mbinguni huwa wanazipenda halafu wanazilamisha vile vile.

R.I.P Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi.

Mkuu hakuna kiumbe kitakachoishi milele na hakuna kiumbe kitachosaga meno kwa damu za watu zikiwa nyingi mikononi.............. Vyovyote vile kufa ni lazima haijalishi umekufa kwa upanga au kwa maradhi wewe amini tuu kwamba hakuna wa kuishi milele.......
 
Kama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii.

Nawasilisha.
Ney Mara ya kwanza aliimbaga ule wimbo wake ..wakamwachia sasa cjui kaona wanamuogopa ngoja tusubiri atakavyotiwa kwapani
 
Nimekuachia katika Tawi gani hilo hadi umeanguka hivyo?
Huu wimbo wa jamaa ni wa kawaida kabisa, jamaa kazungumzia hali halisi iliyokuwepo kwenye jamii, hata pale alipokuwa akizungumzia jinsi watu katika maeneo yao tofauti ya kazi zao wakimlaumu John hajakosea, hata John mwwnyewe aliishawahi kulizungumzia hili, Pengine jamaa alikuwa positive kwamba watu baadala ya kuwa wabunifu na kubadilika kutokana na hali halisi ya upepo unavovuma waweze kujipatia kipato wao wanakalia kulaumu...............Naamini hakuna mtu kaprovokiwa hapa. Ikumbukwe mtani tulishawahi tofautiana hapa kwamba Si kila atoaye maoni yake kuhusu hali halisi ya maisha tz kwa sasa anampinga John.
 
Nataka nieleweshwe pale ambapo anasema VIJANA TUAMKE NA TUANZE MCHAKA MCHAKA.....
JE anamaanisha nini.
 
Nataka nieleweshwe pale ambapo anasema VIJANA TUAMKE NA TUANZE MCHAKA MCHAKA.....
JE anamaanisha nini.

Amemaanisha anakitamani sana na mno kilichomtokea Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi ndani ya Ubalozi ( Consulate ) wa Saudi Arabia nchini Uturuki.
 
Amemaanisha anakitamani sana na mno kilichomtokea Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi ndani ya Ubalozi ( Consulate ) wa Saudi Arabia nchini Uturuki.
Huyo mwandishi kimemkuta nini?Kutokana na comments za awali,inaonekana kauwawa!
Kama ndivyo,inamaana unamwambia Ney aangalie kisijemkuta kilichomkuta Tundu Lissu?Kwa lugha nyingine unaishutumu serikali kuwa capable of killing raia wake!
 
Unaiongelea Serikali ya wapi labda? Tuanzie hapa Kwanza kwani Mimi maisha yangu yote ni hapa Kisiwani Puerto Rico sasa nakushangaa tena unavyobwatuka tu hovyo utadhani Uji wa Mgonjwa.
 
Back
Top Bottom