stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
Ahahahah, Mimi mtani sijambo, watani wako pia hawajambo sana, Sema tu njaa sana huku, Ahsante sana kunikaribisha kisiwani nikale upepo wa Bahari....Niambie Mtani wangu wa ' Kihaya ' vipi hujambo? Huko Tanzania hamjambo lakini? Ndugu zako kule Kanyigo na Kamachumu wote wazima? Karibu sana hapa Kisiwani Puerto Rico Mtani!