Aliye jirani na Msanii Ney wa Mitego amuulize kama ana taarifa juu ya tukio zima la Mwandishi Jamal Kashoggi?

Unaiongelea Serikali ya wapi labda? Tuanzie hapa Kwanza kwani Mimi maisha yangu yote ni hapa Kisiwani Puerto Rico sasa nakushangaa tena unavyobwatuka tu hovyo utadhani Uji wa Mgonjwa.
Aisee,naona tuko level tofauti za kufikiri,jioni njema!
 
Unaiongelea Serikali ya wapi labda? Tuanzie hapa Kwanza kwani Mimi maisha yangu yote ni hapa Kisiwani Puerto Rico sasa nakushangaa tena unavyobwatuka tu hovyo utadhani Uji wa Mgonjwa.

Ndio unaishi kisiwa cha Puerto Rico sasa huko kunahusiana na je na Ney?
 
Kila nikisikia "kuunga mkono",najua tayari mamilioni mengine yanaenda kuchomeka!
We acha tu mkuu [emoji53]

Tunalipa kodi kwa kujitahidi lakini wengine wanaziweka mifukoni mwao na kuzitumia kutuumiza tena sisi sisi

Nadhani aliyetuloga alikufa kwenye yale mafuriko ya Nuhu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii.

Nawasilisha.
Screenshot_20181009-201917.jpg
 
Ahahahahah mtani pumbavu sana.........eti maisha yangu ni hapa kisiwani Puerto Rico

Niambie Mtani wangu wa ' Kihaya ' vipi hujambo? Huko Tanzania hamjambo lakini? Ndugu zako kule Kanyigo na Kamachumu wote wazima? Karibu sana hapa Kisiwani Puerto Rico Mtani!
 
Ndio unaishi kisiwa cha Puerto Rico sasa huko kunahusiana na je na Ney?

Kwani anayeishi Tanzania kutwa lakini habari hadi za Mchezaji Christiano Ronaldo leo kavaa Chupi / Boksa gani anajua Yeye anahusiana nayo vipi? Umeuliza Swali la Kipopoma / Kipumbavu mno na niseme tu kwamba tayari Upopoma / Upumbavu wako umeshathibitishwa Kimataifa.
 
Wanyarwanda mna gubu na gundu we jibu tu makinyesi yako .. we si mnyarwanda u ll never change never never ever.
Kagame katika Uzi huu anaingiaje? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwajibu Kunya / Hovyo / Mbovu / Shombo halafu baadae mnanilalamikia na kunichukia kama siyo hata kuninunia.
 
Kama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii.

Nawasilisha.
Ngoja niende chooni nikakutukanie huko. Wakubwa hatutukani hadharani
 
Kwani anayeishi Tanzania kutwa lakini habari hadi za Mchezaji Christiano Ronaldo leo kavaa Chupi / Boksa gani anajua Yeye anahusiana nayo vipi? Umeuliza Swali la Kipopoma / Kipumbavu mno na niseme tu kwamba tayari Upopoma / Upumbavu wako umeshathibitishwa Kimataifa.

Umechelewa sana mno yaani sana................ subiri flyover ya Mfugale/TAZARA mengine ni hadithi za ESOPO
 
Back
Top Bottom