GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nay wa Mitego-Alisema!
Ngoja niweke kambi hapa,huenda hii mada nitaanza kuielewa wakija wachangiaji.
Kagame kwa ubora wake .
Kuna Watu safari za kwenda Mbinguni huwa wanazipenda halafu wanazilamisha vile vile.
R.I.P Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi.
Ney Mara ya kwanza aliimbaga ule wimbo wake ..wakamwachia sasa cjui kaona wanamuogopa ngoja tusubiri atakavyotiwa kwapaniKama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii.
Nawasilisha.
Mtani unaniangusha kwa kweli............
Huu wimbo wa jamaa ni wa kawaida kabisa, jamaa kazungumzia hali halisi iliyokuwepo kwenye jamii, hata pale alipokuwa akizungumzia jinsi watu katika maeneo yao tofauti ya kazi zao wakimlaumu John hajakosea, hata John mwwnyewe aliishawahi kulizungumzia hili, Pengine jamaa alikuwa positive kwamba watu baadala ya kuwa wabunifu na kubadilika kutokana na hali halisi ya upepo unavovuma waweze kujipatia kipato wao wanakalia kulaumu...............Naamini hakuna mtu kaprovokiwa hapa. Ikumbukwe mtani tulishawahi tofautiana hapa kwamba Si kila atoaye maoni yake kuhusu hali halisi ya maisha tz kwa sasa anampinga John.Nimekuachia katika Tawi gani hilo hadi umeanguka hivyo?
Anamaanisha uende sawa na kasi ya JOHNNataka nieleweshwe pale ambapo anasema VIJANA TUAMKE NA TUANZE MCHAKA MCHAKA.....
JE anamaanisha nini.
Nataka nieleweshwe pale ambapo anasema VIJANA TUAMKE NA TUANZE MCHAKA MCHAKA.....
JE anamaanisha nini.
Huyo mwandishi kimemkuta nini?Kutokana na comments za awali,inaonekana kauwawa!Amemaanisha anakitamani sana na mno kilichomtokea Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi ndani ya Ubalozi ( Consulate ) wa Saudi Arabia nchini Uturuki.
Huyo mwandishi kimemkuta nini?Kutokana na comments za awali,inaonekana kauwawa!
Kama ndivyo,inamaana unamwambia Ney aangalie kisijemkuta kilichomkuta Tundu Lissu?Kwa lugha nyingine unaishutumu serikali kuwa capable of killing raia wake!
Maana yake muache kukaa vijiweni hovyohovyo bila kazi!Nataka nieleweshwe pale ambapo anasema VIJANA TUAMKE NA TUANZE MCHAKA MCHAKA.....
JE anamaanisha nini.