Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Aisee,naona tuko level tofauti za kufikiri,jioni njema!Unaiongelea Serikali ya wapi labda? Tuanzie hapa Kwanza kwani Mimi maisha yangu yote ni hapa Kisiwani Puerto Rico sasa nakushangaa tena unavyobwatuka tu hovyo utadhani Uji wa Mgonjwa.
Ahahahahah mtani pumbavu sana.........eti maisha yangu ni hapa kisiwani Puerto RicoUnaiongelea Serikali ya wapi labda? Tuanzie hapa Kwanza kwani Mimi maisha yangu yote ni hapa Kisiwani Puerto Rico sasa nakushangaa tena unavyobwatuka tu hovyo utadhani Uji wa Mgonjwa.
Kila nikisikia "kuunga mkono",najua tayari mamilioni mengine yanaenda kuchomeka!Maana yake muache kukaa vijiweni hovyohovyo bila kazi!
Kwa lugha nyepesi ni kuunga mkono kauli ya Mhe rais ya "Hapa kazi tu!"
Unaiongelea Serikali ya wapi labda? Tuanzie hapa Kwanza kwani Mimi maisha yangu yote ni hapa Kisiwani Puerto Rico sasa nakushangaa tena unavyobwatuka tu hovyo utadhani Uji wa Mgonjwa.
We acha tu mkuu [emoji53]Kila nikisikia "kuunga mkono",najua tayari mamilioni mengine yanaenda kuchomeka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We acha tu mkuu [emoji53]
Tunalipa kodi kwa kujitahidi lakini wengine wanaziweka mifukoni mwao na kuzitumia kutuumiza tena sisi sisi
Nadhani aliyetuloga alikufa kwenye yale mafuriko ya Nuhu
Kama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii.
Nawasilisha.
We jamaa umekaa kishoga sanaAmemaanisha anakitamani sana na mno kilichomtokea Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi ndani ya Ubalozi ( Consulate ) wa Saudi Arabia nchini Uturuki.
Ahahahahah mtani pumbavu sana.........eti maisha yangu ni hapa kisiwani Puerto Rico
HAPO NIMEKUELEWA JAMAA WAMEMKATAKATA VIPANDE DAAAH SO SAD AISEEKuna Watu safari za kwenda Mbinguni huwa wanazipenda halafu wanazilamisha vile vile.
R.I.P Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi.
Ndio unaishi kisiwa cha Puerto Rico sasa huko kunahusiana na je na Ney?
We jamaa umekaa kishoga sana
Kagame katika Uzi huu anaingiaje? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwajibu Kunya / Hovyo / Mbovu / Shombo halafu baadae mnanilalamikia na kunichukia kama siyo hata kuninunia.
Ngoja niende chooni nikakutukanie huko. Wakubwa hatutukani hadharaniKama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii.
Nawasilisha.
Kwani anayeishi Tanzania kutwa lakini habari hadi za Mchezaji Christiano Ronaldo leo kavaa Chupi / Boksa gani anajua Yeye anahusiana nayo vipi? Umeuliza Swali la Kipopoma / Kipumbavu mno na niseme tu kwamba tayari Upopoma / Upumbavu wako umeshathibitishwa Kimataifa.