stanleyRuta JF-Expert Member Joined Jul 19, 2014 Posts 851 Reaction score 519 Oct 10, 2018 #41 GENTAMYCINE said: Niambie Mtani wangu wa ' Kihaya ' vipi hujambo? Huko Tanzania hamjambo lakini? Ndugu zako kule Kanyigo na Kamachumu wote wazima? Karibu sana hapa Kisiwani Puerto Rico Mtani! Click to expand... Ahahahah, Mimi mtani sijambo, watani wako pia hawajambo sana, Sema tu njaa sana huku, Ahsante sana kunikaribisha kisiwani nikale upepo wa Bahari....
GENTAMYCINE said: Niambie Mtani wangu wa ' Kihaya ' vipi hujambo? Huko Tanzania hamjambo lakini? Ndugu zako kule Kanyigo na Kamachumu wote wazima? Karibu sana hapa Kisiwani Puerto Rico Mtani! Click to expand... Ahahahah, Mimi mtani sijambo, watani wako pia hawajambo sana, Sema tu njaa sana huku, Ahsante sana kunikaribisha kisiwani nikale upepo wa Bahari....
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Oct 10, 2018 #42 GENTAMYCINE said: Naona Nay wa Mitego nae anataka kuwa Jamal Kashoggi wa hapa Kisiwani Kwangu nilipo Puerto Rico Mkuu. Haya bhana yangu macho! Click to expand... si amesema hatachafua hali ya hewa tena?
GENTAMYCINE said: Naona Nay wa Mitego nae anataka kuwa Jamal Kashoggi wa hapa Kisiwani Kwangu nilipo Puerto Rico Mkuu. Haya bhana yangu macho! Click to expand... si amesema hatachafua hali ya hewa tena?
K kilicho JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 1,117 Reaction score 868 Oct 10, 2018 #43 GENTAMYCINE said: Kuna Watu safari za kwenda Mbinguni huwa wanazipenda halafu wanazilamisha vile vile. R.I.P Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi. Click to expand... Umetumwa kuja kumtisha??
GENTAMYCINE said: Kuna Watu safari za kwenda Mbinguni huwa wanazipenda halafu wanazilamisha vile vile. R.I.P Mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia Jamal Kashoggi. Click to expand... Umetumwa kuja kumtisha??
Sheikh23 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 1,175 Reaction score 1,934 Oct 10, 2018 #44 Dah hili dude tamu aisee,unasikiliza mpaka unasisimka,haya ndio tunayopenda kuyasikia_Ukweli Umezungumzwa
Dah hili dude tamu aisee,unasikiliza mpaka unasisimka,haya ndio tunayopenda kuyasikia_Ukweli Umezungumzwa
kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,184 Reaction score 9,407 Oct 10, 2018 #45 Acha kumtisha
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Oct 11, 2018 #46 Huu wimbo wa Ney - Alisema sijaona shida ya kufanya Serikali kumchukulia hatua
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 7,981 Reaction score 17,743 Oct 12, 2018 #47 Jamal Kashoggi is steel alive... In 5 star hotel