Yaani usome maandiko Kisha uyaache na kutumia fikra zisizotokana na maandiko🤔Majibu ya swali lako utayaweza yapata ndani ya fikra huru tu, ila ukiyatafuta humo humo kwenye box kamwe hauwezi kuyapata.
Usipo tumia fikra na kuyaacha mandiko utaamini na kuona ni kweli nyoka aliongea .Yaani usome maandiko Kisha uyaache na kutumia fikra zisizotokana na maandiko🤔
Viumbe vyote vinaongea,Usipo tumia fikra na kuyaacha mandiko utaamini na kuona ni kweli nyoka aliongea .
Viumbe wengine nafahamu huwa wanawasiliana kwa sauti za milio na ishara mbalimbali, unajua kinachosababisha aunde maneno tofauti na viumbe wengne ndani ya mwili wake ?Viumbe vyote vinaongea,
Vyote uvionavyo vinaongea,
Punda aliongea vizuri kabisa, hata mawe yanaweza kuongea pia.
Adamu aliongea na viumbe vyote, vya kimwili na kiroho.
Hili Lina UKWELI,Yesu Kristu, ndio maana kuna wakati tunamuita Mungu.
" Huyu ndie mwanangu mpendwa niliyependezwa nae msikilizeni yeye"
Ukisoma vizuri hapo juu utaona alikaimishwa majukumu, tukimsikiliza yeye ni sawa na kumsikiliza Mungu.
Hizo hadithi zipo pia kwenye vitabu vya kale vya kigiriki , kabla hata ya biblia .Viumbe vyote vinaongea,
Vyote uvionavyo vinaongea,
Punda aliongea vizuri kabisa, hata mawe yanaweza kuongea pia.
Adamu aliongea na viumbe vyote, vya kimwili na kiroho.
Uzi wako ungeuweka kwenye jukwaa la dini ili watu wa huko waujadili kwenye box la dini.Hili Lina UKWELI,
Maana Paulo akiwa njiani kuelekea dameski kuua WATAKATIFU, alitokewa na Mtu aliyengaa kuliko jua, na akawa kipofu pale pale,
Na alipomuuliza u nani wewe ninayekuudhi,
Alisema Yeye ni YESU KRISTO.
GOD IS ONE🤔
Jikite kwenye mada.Viumbe wengine nafahamu huwa wanawasiliana kwa sauti za milio na ishara mbalimbali, unajua kinachosababisha aunde maneno tofauti na viumbe wengne ndani ya mwili wake ?
Hiyo Hadithi ya Paulo ina mashaka sana Na nahisi bora usingeiwekaHili Lina UKWELI,
Maana Paulo akiwa njiani kuelekea dameski kuua WATAKATIFU, alitokewa na Mtu aliyengaa kuliko jua, na akawa kipofu pale pale,
Na alipomuuliza u nani wewe ninayekuudhi,
Alisema Yeye ni YESU KRISTO.
GOD IS ONE🤔
😅😅Uzi wako ungeuweka kwenye jukwaa la dini ili watu wa huko waujadili kwenye box la dini.
Lete majibu ya HOJA hapo juu ikiwa wayafahamu!!Hiyo Hadithi ya Paulo ina mashaka sana Na nahisi bora usingeiweka
Hoja Ipi??Lete majibu ya HOJA hapo juu ikiwa wayafahamu!!
Kumbe mada inasemaje🤔Hoja Ipi??
Soma jibu Langu tenaKumbe mada inasemaje🤔
Ngoja nijikite humo, Mungu ni wewe mimi na yule , hakuna Mungu kama kitu kimoja chenye nguvu zaidi njee na wewe mimi yule na kile , ukishasema Mungu yupo mahali fulani tayari ushapunguza sifa ya Mungu kuwa Mungu.Jikite kwenye mada.
Ok,Ngoja nijikite humo, Mungu ni wewe mimi na yule , hakuna Mungu kama kitu kimoja chenye nguvu zaidi njee na wewe mimi yule na kile , ukishasema Mungu yupo mahali fulani tayari ushapunguza sifa ya Mungu kuwa Mungu.
Yani kila kitu ni Mungu na Mungu ni kila kitu , na wala hana mahitaji ya kusifiwa wala kuabudiwa , wala hama sababu ya kuwa na chawa ( viongozi wa dini , manabii mitume na nk) ili kufikisha chochote kwa mtu wala kitu ambacho bado ni yeye mwenyewe .