Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

"Na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu.." huyu aliyesema haya maneno ni Mungu
Kumbukumbu la Torati 33:26

"Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni,

Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie.
Na juu ya mawingu katika utukufu wake."

"There is none like unto the God of Jeshurun, who rideth upon the heaven in thy help, and in his excellency on the sky."
Pia Unaweza ukasoma..
Ayubu 41:33-34
"Juu ya nchi hapana aliyefanana naye,
Aliyeumbwa pasipo oga.Yeye hutazama kila kitu kilicho juu; Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.

Upon earth there is not his like, who is made without fear.He beholdeth all high things: he is a king over all the children of pride."
 
"Na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu.." huyu aliyesema haya maneno ni Mungu
Ni kitabu Cha mwanzo chapter 1.

Kuna mfanano wa karibu kabisa kitabu Cha mwanzo na ufunuo,

Kumbe Mungu ana mfano wa mtu!!

Ana macho, anasikia, ana mikono ya kuponya na kuokoa, ana HISIA, hukasirika, hupenda, anasamehe, nknk.

Sisi ni mfano wa Mungu.

Jambo Hilo linanipa furaha sana na shukrani tele ndani ya moyo wangu.
 
Hoja Ipi??
Kama ni Hoja Ya Mfano wa Mwanadamu Inakosa Authentification kwa sababu imetajwa kwenye Kitabu kimoja tu cha biblia..
Yaani Ufunuo..

Kitabu ambacho Bado kinapata Pingamizi kutoka kwa Wanatheolojia
Una mbwembwe nyingi ajabu hujui hata unachopinga, waache wana theolojia wapinge kivyao, tuambie wewe una nini kichwani kuhusu hicho unachopinga.
 
Mathayo 6:9
Basi, salini hivi: “‘Baba yetu uliye mbinguni, jina lako na litakaswe.
Mungu ana makao. Makao yake Yako mbinguni.
Ila huyo mfano wa mwanadamu ni Yesu Kristo.
Kwahiyo kumbe Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake🤔
 
Salaam, shalom!!

Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.

Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.

Ni nani huyo? Je Mungu ana mfano wa mwanadamu?

Karibuni 🙏
Mtu huyo ni wewe apo
 
Mungu alimuumba mtu kwa Sura na mfano wake, Tuna sura na mfano wa Mungu!! Yeye ni Roho lakini ana Sura na anaketi kwenye kiti cha Enzi
 
Una mbwembwe nyingi ajabu hujui hata unachopinga, waache wana theolojia wapinge kivyao, tuambie wewe una nini kichwani kuhusu hicho unachopinga.
Tapeli tu huyo. Huwa anajifanyaga msomi na anajua dini na theology kuliko wote humu JF. Anajifanyaga eti amesoma uchungaji na alikuwa mchungaji wa Kisabato kule kanda ya ziwa. Akaacha Uchungaji, akaenda kuwa shehe then amesoma dini mbalimbali ikiwemo dini ya kiyahudi kumbe maamuma tu. Hana ajuacho, anatapeli tu humu JF na uganga wake.
 
Hiyo Hadithi ya Paulo ina mashaka sana Na nahisi bora usingeiweka
Hilo jibu lako ndio hilo? tuambie mashaka gani hayo? bado unakimbia kimbia tu ajabu ukiambiwa una mbwembwe unaita makasiriko, hujiamini unalazimisha uonekane unapinga to for fun without any significant proof.
 
Msamehe huyo ndugu,

Japo ni UKWELI usiopingika kuwa kujadiliana na watu aina Yako, kama hujala ukashiba, na ukawa na uvumilivu, tofauti ni LAZIMA,

Utakumbuka, Mimi pia katika minadala mingi nawe, tumewahi kukwaruzana😀
Ndyo lakini Mijadala mingi Ya kisomi kama hii Usilete Wajinga..

Mijadala mingi mimi na wewe tumewahi kukwaruzana lakini tunakwaruzana kisomi zaidi sio kipumbavu...

Na ndo maana Huwa napenda Sana mijadala yako kwa sababu licha ya Kupata Kitu naimani na wewe huwa unapata kiti kutoka kwangu..
 
Unataka tubishane ikiwa siijui imani yako, kwangu ndio ni Mungu.

Ukipenda andamana upinge.
Jana nilikutana na pastor mmoja aliyeniambia kuwa,

Yeye alipookolewa, zaidi ya mara mbili amefununiwa na kumwona aliye mfano wa mtu, Yesu Kristo ndiye aketiye katika KITI Cha enzi Mbinguni.

Ni kama tu mwandishi wa ufunuo wa Yohana alivyoona.

Kumbe BIBLIA haijipingi.

Yesu ndiye Mungu. Amen
 
Ndyo lakini Mijadala mingi Ya kisomi kama hii Usilete Wajinga..

Mijadala mingi mimi na wewe tumewahi kukwaruzana lakini tunakwaruzana kisomi zaidi sio kipumbavu...

Na ndo maana Huwa napenda Sana mijadala yako kwa sababu licha ya Kupata Kitu naimani na wewe huwa unapata kiti kutoka kwangu..
Sasa ndugu umeamua kunisingizia nimeleta watu humu kukushambulia?

Acha hizo😀
 
Ndyo lakini Mijadala mingi Ya kisomi kama hii Usilete Wajinga..

Mijadala mingi mimi na wewe tumewahi kukwaruzana lakini tunakwaruzana kisomi zaidi sio kipumbavu...

Na ndo maana Huwa napenda Sana mijadala yako kwa sababu licha ya Kupata Kitu naimani na wewe huwa unapata kiti kutoka kwangu..
Nani mjinga wewe. Mi nilikuwa naendelea na min -me then wewe from nowhere unakuja niandikia shit na kwa dharau. Jitahidi usiwe unawadharau wengine na jitahidi uwe unajifunza kwa wengine. Acha dharau we dogo. JF sio ya mama yako.
 
Back
Top Bottom