denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Sasa hapa ndio umeandika kitu gani?Kumbukumbu la Torati 33:26
"Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni,
Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie.
Na juu ya mawingu katika utukufu wake."
"There is none like unto the God of Jeshurun, who rideth upon the heaven in thy help, and in his excellency on the sky."
Pia Unaweza ukasoma..
Ayubu 41:33-34
"Juu ya nchi hapana aliyefanana naye,
Aliyeumbwa pasipo oga.Yeye hutazama kila kitu kilicho juu; Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.
Upon earth there is not his like, who is made without fear.He beholdeth all high things: he is a king over all the children of pride."
Mleta mada ameleta andiko lisemalo " aliyefanana na mwanadamu aketie katika kiti cha enzi".
Wewe unatuletea andiko lisemalo; "Hakuna aliyefanana na Mungu"
Hivi unajielewa kweli ewe Dr.?! Hujioni ulivyochemka hapo?
Umeshindwa kutofautisha "aliyefanana na mwanadamu" kama mleta mada alivyoandika, nawe unatuletea habari yako hakuna "aliyefanana na Mungu"?