Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Acha tutaenda huko mbinguni Kwanza then tutamjua huyo aliyekaa Kwenye kiti Cha enzi
Bila kumjua Ukiwa unaishi, hutoenda Mbinguni!!

Anasema " I'm the only way, truth and life, bila Yeye hutomwona huyo aketiye.
 
We msenge tumekuangalia muda murefu kweli unaharibu mujadala maamae zako wewe ..
kama huwezi kuwa kwenye mjadala nenda kaendeleze ushoga wako hapa tunataka tuone watu wakijadiliana
Asee sikuanzisha mada Ili mtukanane humu tafadhali 🙏
 
Ubadilike, acha ujuaji. Acha kudharau wengine na kujifanya unajua kila kitu.
1 Wakorintho 13:9-13
Screenshot_20240624_143437_Biblia Takatifu.jpg
 
Salaam, shalom!!

Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.

Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.

Ni nani huyo?

Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?

Karibuni 🙏
Mungu alisema na tufanye mtu kwa mfano wetu jiongeze
 
Mungu alisema na tufanye mtu kwa mfano wetu jiongeze
Kwa Mfano wetu, Kwa sura yetu🤔

Nimejiongeza!!

Na baada ya kulijua Hilo Mimi na wewe, tuzidi kuwa WATAKATIFU kama baba yetu alivyo,

Ulevi, matusi, UZINZI, wizi nk nk sio sifa stahiki za watu Walio mfano wa Mungu.

Ubarikiwe🙏
 
Huwa mara zote watu wa dini ni nini kinawashinda mpka mnashindwa kudhibiti hisia zetu naona mara nyingi hasa mkikutana hata na wale wenzenu!!

Yani ni nini mnachokipigania mpka kufikia hatua ya kuvunjiana heshima?
Nawe unakwama hapo kwenye dini!!

Mtu wa Dini ni nani Hasa?

Hapa dini haijadiliwi Bali Imani!!
 
sio kwamba matusi ila wengine sisi tunaipata hii elimu ya dini kutumia hii mitandao sasa mtu mwimungine anapoleta habazri sizo huwa hatumulewa kabisa ..wengine tumepinda tunatamaani kuokolewa ...
Nakuelewa ndugu.

Njia nzuri ya kuepuka kutukanana, ni kutojibu matusi, Bali tutafute zilipo huja tujadili na kuuliza tusipopafahamu.

Jambo ninalokuhakikishia, humu humu, utakutana na Mungu, atakuokoa na utaipata Amani na furaha ya Kweli.

Ubarikiwe.🙏
 
Nimejibu kutokana na Occasion uliyotoa Angalia nilichoquote kabla ya Kucoment post yako
Nilishakuona muda mrefu, wewe ni fundi wa kukariri maandiko bahati mbaya hauna upeo wa kutafsìri, kama unakumbuka ulishawahi kuja na article ya constitution kwa mbwembwe hivi hivi nikakuuliza swali moja ukapotea moja kwa moja, hili tatizo bado unalo.

Umeshindwa kutafsiri kile alicholeta mleta mada, badala yake unakimbilia kuleta andiko kama vile andiko uliloleta ndio linajibu, wakati ukweli halijibu chochote, matokeo yake ni kama unataka kutuambia alicholeta mleta mada ni uongo/hakipo, wakati tatizo liko kwako, unajua copy & paste tu, hujui kuchambua kitu kwa kina.

Mimi nilimjibu mleta mada baada ya kuchambua alichoandika, wewe ukaja quote nilichoandika kwa kuweka andiko, huoni unajichanganya, usipende kukariri maandiko ukajiona msomi, wewe bado mchanga sana kupevuka kifikra.
 
Back
Top Bottom