DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Yaani Nimecheka sana 🤣🤣Mle Kuna vihoja tupu!!
Mtume amemsilimisha shetani mle!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Nimecheka sana 🤣🤣Mle Kuna vihoja tupu!!
Mtume amemsilimisha shetani mle!!
Soma hadi mstari wa 24, mbona inaeleweka.
Tofauti ni kubwa,Inatofauti gani na malaika wa mungu walipojihudhurisha kwa Mungu shetani pia akaenda na akampa na kazi kabisa kwa ayubu?
Ni mmoja tuu, hata mkimwita mtume, nabii, mwalimu, Fundi Seremala atabaki kuwa Mungu tuu....Salaam, shalom!!
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo?
Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?
Karibuni 🙏
Mkuu.....hili la mtu mfano wa Mwanadamu kukalia enzi na kupewa mamlaka hata nabii Daniel aliliona miaka mingi Sana kabla hata ya Kristo.Hoja Ipi??
Kama ni Hoja Ya Mfano wa Mwanadamu Inakosa Authentification kwa sababu imetajwa kwenye Kitabu kimoja tu cha biblia..
Yaani Ufunuo..
Kitabu ambacho Bado kinapata Pingamizi kutoka kwa Wanatheolojia
Mungu aliufanyia Ujasusi Dunia,na Dunia ikabaki bila kujua chochote!!Ni mmoja tuu, hata mkimwita mtume, nabii, mwalimu, Fundi Seremala atabaki kuwa Mungu tuu....
Isaya 9:6
[6]Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele, Mfalme wa amani.
For unto us a child is born, unto us a son is given: and the government shall be upon his shoulder: and his name shall be called Wonderful, Counsellor, The mighty God, The everlasting Father, The Prince of Peace.
Usidhani halijui aliloandika, anajua fika, ila anafanya Ile KAZI ya kupindisha Kweli,Mkuu.....hili la mtu mfano wa Mwanadamu kukalia enzi na kupewa mamlaka hata nabii Daniel aliliona miaka mingi Sana kabla hata ya Kristo.
Danieli 7:9,10, 13,14
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
10,Mto kama wa moto ukatoka ukapita mbele zake; maelfu elfu wakamtumikia, na elfu kumi mara elfu kumi wakasimama mbele zake; hukumu ikawekwa, na vitabu vikafunuliwa.
13, Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
14; Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa.
Ila huku kwenye agano jipya ametajwa kuwa na mamlaka kuliko hao malaika...Kuna wakati huyo aliyemfano wa Mwanadamu katika agano la kale anaelezwa kama Malaika mwenye sura ya Mungu.Malaika mwenye uwezo wa kusamehe dhambi...huku kwenye agano jipya anajifunua Zaidi kama mwana Wa Mungu.
Ni Yesu(NENO) huyo.
Hakuna popote huyo aketiye katika KITI Cha enzi amefananishwa na Malaika,Kuna wakati huyo aliyemfano wa Mwanadamu katika agano la kale anaelezwa kama Malaika mwenye sura ya Mungu.Malaika mwenye uwezo wa kusamehe dhambi...huku kwenye agano jipya anajifunua Zaidi kama mwana Wa Mungu.
Ni Yesu(NENO) huyo.
Kwa mujibu wa hiyo hadithi ,unasemaje hana ushirika wakati alitoa vibali ili ayubu ashughulikiwe? Ni kama TRA wanavyoshirikiana na wafanya biashara tu .Tofauti ni kubwa,
Mahakama kuu Iko Mbinguni, na shetani mara zote hupeleka mashtaka Kwa Mungu kuhusu watu Walio duniani,
Na anaitwa Mshtaki wa watu wa Mungu,
Mungu Hana ushirika na shetani, Bali shetani huja kuwashtaki watu wa Mungu wanapomuasi Mungu Ili awachukue upande wake.
Na Hilo liko wazi, shetani Hana ushirika wa kiibada na Mungu, Bali mstaki tu.
Sijui umeelewa?
Tofauti na kule mwingine, wao wamemsilimisha shetani, na majini, wanakusanyika kuabudu pamoja Giza!!
You ment thisSoma hadi mstari wa 24, mbona inaeleweka.
Haimaanishi Mungu yupo everywhere inamaanisha neema za Mungu zipo everywhere kila kitu unachokiona mbinguni au duniani ni neema ya MunguSalaam, shalom!!
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo?
Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?
Karibuni 🙏
Hakuna ushirika hapo,Kwa mujibu wa hiyo hadithi ,unasemaje hana ushirika wakati alitoa vibali ili ayubu ashughulikiwe? Ni kama TRA wanavyoshirikiana na wafanya biashara tu .
So kuna Mzee wa Siku pia Yupo??Mkuu.....hili la mtu mfano wa Mwanadamu kukalia enzi na kupewa mamlaka hata nabii Daniel aliliona miaka mingi Sana kabla hata ya Kristo.
Danieli 7:9,10, 13,14
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
10,Mto kama wa moto ukatoka ukapita mbele zake; maelfu elfu wakamtumikia, na elfu kumi mara elfu kumi wakasimama mbele zake; hukumu ikawekwa, na vitabu vikafunuliwa.
13, Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
14; Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa.
Ndio nakwambia umesomea theology ukafundishwa Elimu ya mashetani,You ment this
Luka 17:24
"kwa kuwa, kama vile umeme umulikavyo toka upande huu chini ya mbingu hata upande huu chini ya mbingu, ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu katika siku yake."
"For as the lightning, that lighteneth out of the one part under heaven, shineth unto the other part under heaven; so shall also the Son of man be in his day."
Hii siku ilikuwa inazungumziwa siku ipi?
Unafahamu Kuhusu Hii Siku??
Mathayo 28:2-4
"Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia. Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji. Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu.
Hivi nina swali Shetani ndo alishtaki au Mungu ndo alimuuliza Shetani??Hakuna ushirika hapo,
Shetani alikuja kumshtaki Ayubu kuwa Si wa Nuru ni WA upande wa Giza.
Mungu akatoa Ruhusa mashtaka yake yachunguzwe, na mwisho imethibitika Ayubu ni WA Nuru.
Sasa wale wenzio, wanaabudu pamoja na majini na mashetani, Pana Ibada hapo🤔
Kwa hiyo Mungu hayupo kila sehemu?Haimaanishi Mungu yupo everywhere inamaanisha neema za Mungu zipo everywhere kila kitu unachokiona mbinguni au duniani ni neema ya Mungu
Neema yaweza kuwa milima, mito au etc
Hiyo mathayo Niliyoweka si ni Kufufuka kwa Yesu??Ndio nakwambia umesomea theology ukafundishwa Elimu ya mashetani,
Hadi Leo hujui kuwa Yesu alifufuka katika wafu, na ndiye aketiye katika KITI Cha enzi Mbinguni 🤔
Mungu anaweza kufanya kila kitu haimaanishi yupo hapo hapo umekaanae yupo kirohoKwa hiyo Mungu hayupo kila sehemu?