Unaona mawazo ya WANADAMU haya🤔
Hii ni reasoning ya kitoto, anyway nitakujibu.
Kabla huyo Mzee wa siku kuamua kufanya Ujasusi wa kuvaa mwili na kuonekana kama mwanadamu Kwa KAZI ya Ukombozi wa mwanadamu alikuwepo milele. Na alijulikana na Malaika kama Mzee wa siku!!
Kwa WANADAMU waliookolewa Kwa KAZI ya msalaba watamwona akiwa na mikono iliyotobolewa misumari, na mwonekano wa kijana.
Lakini ndiye huyo huyo, Malaika na utawala wa Mbinguni uTAENDELEA kumwona vile walivyokuwa wakimwona tangu zamani kama Mzee wa siku maana KAZI ya Ukombozi ilikuwa ni special Kwa WANADAMU, Si Kwa Malaika na Serikali iliyo Mbinguni.
Karibu 🙏