Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Iweke hapa hiyo baruaKama sio za kutunga barua ya Paulo kwa waefeso aliandika nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iweke hapa hiyo baruaKama sio za kutunga barua ya Paulo kwa waefeso aliandika nani?
Una uelewa finyu!!Neno sio Mungu,bali mwa na Mungu.
huyu malaika mwenye sura ya Mungu na mwenye uwezo wa kusamehe dhambi ndiye Neno.
Huyu ndiye aliyewato wana wa israeli Misri na ndiye aliyemtokea Mussa kwenye kijinga cha Moto.
Exodus 20: 23.behold I send an Angel before you to keep you in the way and to bring you into the place which I have prepared. Beware of Him and obey His voice; do not provoke Him, for He will not pardon your transgressions; for My name is in Him. .
huyo mailaka anauwezo kusamehe dhambi kwa mujibu wa Exodus.
huyu mailaka na ana sura bwana.
Katika harakati zote za wana wa israeli toka Misri neno ndiyo alisimamia show.
isaiah 63:9:In all their affliction he was afflicted, and the ANGEL OF HIS PRESENCE saved them: in his love and in his pity he redeemed them; and he bare them, and carried them all the days of old.
🤣🤣🤣Una uelewa finyu!!
Aliyemtokea Musa alijitambulisha kuwa "MIMI NIKO AMBAYE NIKO " Huyo Si Malaika, ni Mungu mwenyewe.
Aliyesema nitamtuma Malaika awaongoze, alikuwa Mungu, na Malaika hakuwa huyo Mungu, elewa kiswahili.
Malaika ni mtumishi wa Mungu.
NENO ndiye Yesu, Ndiye Roho MTAKATIFU, ndiye Mungu BABA, Ndiye huyo Mzee wa siku.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Kwani Yesu si niko ambaye niko?.Una uelewa finyu!!
Aliyemtokea Musa alijitambulisha kuwa "MIMI NIKO AMBAYE NIKO " Huyo Si Malaika, ni Mungu mwenyewe.
Aliyesema nitamtuma Malaika awaongoze, alikuwa Mungu, na Malaika hakuwa huyo Mungu, elewa kiswahili.
Malaika ni mtumishi wa Mungu.
NENO ndiye Yesu, Ndiye Roho MTAKATIFU, ndiye Mungu BABA, Ndiye huyo Mzee wa siku.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Mkuu hauamni kuwa kuna barau za Paulo kwa waefeso, wathethalonike, wakoritho na nk?Iweke hapa hiyo barua
Baasi baasiShetani alisilimishwa na mtume na wako wote pamoja huko chini. Nadhani umeshapajua.
ZipoMkuu hauamni kuwa kuna barau za Paulo kwa waefeso, wathethalonike, wakoritho na nk?
Haujaelewa kipi apo kwani ?Zipo
Iweke hapa tuelewe point yako
Yesu ndiye huyo NIKO AMBAYE NIKO,Kwani Yesu si niko ambaye niko?.
Nikikupa andiko yesu anasejiita Yeye yuko utasema nini?.
Unielewi,wakati mimi nimeshakuelewa.
Ni Kweli kabisa,Nadhani jamaa waliounda hizi dini hawakutegemea kama maelfu ya miaka baadaye bado watu watakuwa wajinga kiasi cha kutokubaini uongo wao ulio dhahiri.
Kwa sababu, uongo ukichukuliwa kama ukweli, unaumiza, unaweza kuua.Sasa wewe unayeamini ni kitabu fixtuous kwanini upoteze muda kujadili fix🤔
Ni ya uongo kwako,Kwa sababu, uongo ukichukuliwa kama ukweli, unaumiza, unaweza kuua.
Kuna mtu alijirusha kutoka juu ghorofani Morogoro Road, akapanga aangukie kwene Simtank lenye maji, akiamini kuwa kuangukia kwenye Simtank kutamponya.
Yule jamaa alikufa, kwa sababu imani yake potofu kuwa lile Simtank lililojaa maji litamsaidia asife, haikuwa na ukweli.
Yani ike hadithi ya uongo, licha ya kuwa uongo, ilimuua.
Umeelewa?
Hadithi ya uongo ikiaminika kama ukweli inaweza kuleta madhara, inaweza kuua.
Umeelewa?
Hapana, simpangii Mungu jinsi ya kuendesha dunia.unampangia Mungu jinsi ya kuendesha dunia kuwa wewe Mungu basi
Unaruhusiwa kuamini unachotaka, ila huna haki ya kuwa na facts zako.Ni ya uongo kwako,
Kwetu ni ya Kweli.
Sasa wewe wewe unahangaiashwa na nini?
BABA MTAKATIFU PAPASalaam, shalom!!
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo?
Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?
Karibuni 🙏
Kwanini umuite 'Neno' malaika wakati mwenye kusamehe dhambi ni Mungu pekee?....malaika hawafanyi hayo...Hata kwenye agano la kale uwezo wake ni ule ule.
Anasujudiwa,anauwezo wa kusamehe dhambi nk.
Hakuna mwenye huo uwezo ila na Mungu.
huyu malaika mwenye sura ya Mungu na mwenye uwezo wa kusamehe dhambi ndiye Neno.
Huyu ndiye aliyewato wana wa israeli Misri na ndiye aliyemtokea Mussa kwenye kijinga cha Moto.
Exodus 20: 23.behold I send an Angel before you to keep you in the way and to bring you into the place which I have prepared. Beware of Him and obey His voice; do not provoke Him, for He will not pardon your transgressions; for My name is in Him. .
huyo mailaka anauwezo kusamehe dhambi kwa mujibu wa Exodus.
huyu mailaka na ana sura bwana.
Katika harakati zote za wana wa israeli toka Misri neno ndiyo alisimamia show.
isaiah 63:9:In all their affliction he was afflicted, and the ANGEL OF HIS PRESENCE saved them: in his love and in his pity he redeemed them; and he bare them, and carried them all the days of old.
Mkuu some sura yote Daniel 7 imejieleza vizuri Sana, labda tu useme huamini.So kuna Mzee wa Siku pia Yupo??
Sasa Kama Yule Aliye Mfano wa Mwanadamu Atakalia Kiti Mzee wa Siku yeye atakuwa wapi??
Kuko Kwenye kujadili kuhusu uwepo wa Mungu umeenda mbali,Unaruhusiwa kuamini unachotaka, ila huna haki ya kuwa na facts zako.
Naonesha kuwa hizi habari si fact, ni imani tu.
Imani yako hata mimi naitetea, natetea haki yako ya kuamini unachotaka.
Ila, tukija kwenye facts, Mungu hayupo.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Bora hata Wewe 🤣🤣🤣BABA MTAKATIFU PAPA