let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Uliomba verse nimekupa,wewe badala ukanushe maandiko yangu kwa maandiko unakanusha kwa maneno matupu.Yesu ndiye huyo NIKO AMBAYE NIKO,
Na maana yake ni BWANA Mungu!!
Na Yesu Si Malaika, maana Malaika hamwamrishi Malaika, Bali hupokea order Toka Kwa Mungu,
Yesu ni Mungu, kumfananisha na Malaika ni makufuru!!
Umeelewa?
Hiyo exodus na isaya niliyokupa inamuongelea nani?.
Ni malaika gani aliye na sura Mungu?.
Ni malaika gani anaweza samehe dhambi?.
kwa hiyo wewe mlokole wa mwigumbi unamjua mungu kuliko Isaya ama Musa?.
Yesu ni Mwana wa Mungu, Yesu kuitwa Mungu haifanyi asiwe mwana.
Unamsemaha Yesu uongo kwa kudhani unamtetea.