Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Salaam, shalom!!

Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.

Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.

Ni nani huyo?

Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?

Karibuni 🙏
unataka kufanya nini?
 
Maandiko nimekupa na authors wa hayo maandiko umewaita waongo.
Ikiwa isayz na Musa wamekuwa waongo kwako mimi ni nani hasa hata uniamini?.

Nb: ikiwa Yesu ndiye Mungu, Yesu aliposema kheri wenye moyo safi watamuona Mungu alikuwa anakusudia Mungu gani hapo wakati kwa mdai yako yeye ndiye Mungu?.
Kusema watamwona Mungu huo ni Ujasusi, ni mission ya Ukombozi alipokuja duniani katika mwili wa mwanadamu.

Hivi Leo tunavyoongea, ndiye aketiye katika KITI Cha enzi Mbinguni.

Sasa Kwa akili Yako, Malaika anaweza kukalia KITI Cha enzi Cha Mungu?
 
Rafiki,yesu ni mwana wa Mungu.biblia inamshuhudia hivyo na yeye pia anajishuhudi hivyo.

Hakuna mtu mwingine katika biblia ana sura ya Mungu na anauwezo wa kusamehe dhambi isikupokuwa Kristo.
Waebrania 1;3:
Yeye Mwana ni mng’ao wa utukufu wa Mungu na CHAPA halisi ya nafsi yake, naye huudumisha na kuuendeleza ulim wengu kwa neno lake lenye nguvu. Alipokwisha kuwapatia wanadamu utakaso wa dhambi, alikaa upande wa kulia wa Mungu Mwenyezi aliye juu.

isaya kaongea kitu kile kile kinachozungumziwa kwenye waebrania ila umemuita muongo kwasababu tu katumia jina malaika.
Kichwani umejaza taka taka nyingi ulizojibumbua nakuziweka kama majibu ya maswali ya kila swali utakalo ulizwa kuhusu ukristo.
Petro anasema iweni taayali kumjibu kila mtu awaulizae habari za tumain.
Sasa imagine muislam ama non Christians yoyote anakuuliza swali nilikokuuliza unajibu kuwa hayo ni mambo ya kijasusi, ujasusi dhidi ya nani?.uoni kwamba ataona ukristo ni ukichaa?.
Unaleta mambo ya CIA NA KGB ndani ya biblia!!.
 
Narudia,

Kimamlaka, WANADAMU Wana Cheo kikubwa kuliko malaika.

Na itulie ueleweshwe kuwa NENO hajawahi kutambulishwa kama Malaika.

Malaika ni Malaika.

NENO ndiye YESU KRISTO, ndiye Mungu.

Aamen
 
Huyu malaika anaitwa malaika mkuu Metatron .

Enoch wakati alipokuwa akiishi duniani , aliishi maisha ya kumpendeza Mungu , alitembea na Mungu kila wakati , pia hakutenda dhambi wakati wote alipokuwa akiishi duniani .

Alipokuwa na umri wa miaka 365 , Mungu alimpaliza mbinguni bila kufa . Alipofika mbinguni, Mungu akambadilisha kutoka binadamu na kuwa malaika, akawa malaika mkuu Metatron.

Malaika mkuu Metatron ndiye kiongozi wa malaika wote waliopo mbinguni. Malaika mkuu Metatron amehusika sana katika kumfunulia binadamu siri za malaika wengine waliopo mbinguni na kutufanya binadamu tuwe na ufahamu kuhusu mambo ya mbinguni.

Neema nyingi na sifa za kiroho alizo nazo malaika mkuu Metatron zinafanana na Bikra Maria , mama aliye mzaa Yesu Kristo.

Metatron is one of the most powerful archangels, acting as the celestial scribe to the Book of Life, which keeps track of all the choices made by earthly and divine beings. Metatron also serves as the guide to humanity, is the speaker for God, and is granted the right to be in the presence of God .
Una uthibitisho wowote Kutoka kwenye BIBLIA usemayo kuwa Enoch ndiye Malaika mkuu Kwa sasa Mbinguni?
 
Huyu malaika anaitwa malaika mkuu Metatron .

Enoch wakati alipokuwa akiishi duniani , aliishi maisha ya kumpendeza Mungu , alitembea na Mungu kila wakati , pia hakutenda dhambi wakati wote alipokuwa akiishi duniani .

Alipokuwa na umri wa miaka 365 , Mungu alimpaliza mbinguni bila kufa . Alipofika mbinguni, Mungu akambadilisha kutoka binadamu na kuwa malaika, akawa malaika mkuu Metatron.

Malaika mkuu Metatron ndiye kiongozi wa malaika wote waliopo mbinguni. Kiitifaki , Anaanza Mwenyezi-Mungu , anafuatia Metatron halafu ndio wanafuatia malaika wengine waliopo mbinguni. Malaika mkuu Metatron amehusika sana katika kumfunulia binadamu siri za malaika wengine waliopo mbinguni na kutufanya binadamu tuwe na ufahamu kuhusu mambo ya mbinguni.

Neema nyingi na sifa za kiroho alizo nazo malaika mkuu Metatron zinafanana na Bikra Maria , mama aliye mzaa Yesu Kristo.

Metatron is one of the most powerful archangels, acting as the celestial scribe to the Book of Life, which keeps track of all the choices made by earthly and divine beings. Metatron also serves as the guide to humanity, is the speaker for God, and is granted the right to be in the presence of God .
Nitajie jina la malaika anaeweza samehe dhambi.
Nitajie jina la malaika mwenye sura Mungu.
Isaya anasema: 9 In all their affliction he was afflicted, and the angel of his presence saved them: in his love and in his pity he redeemed them; and he bare them, and carried them all the days of old.
alikusudia malaika gani?.
 
Huyu malaika anaitwa malaika mkuu Metatron .

Enoch wakati alipokuwa akiishi duniani , aliishi maisha ya kumpendeza Mungu , alitembea na Mungu kila wakati , pia hakutenda dhambi wakati wote alipokuwa akiishi duniani .

Alipokuwa na umri wa miaka 365 , Mungu alimpaliza mbinguni bila kufa . Alipofika mbinguni, Mungu akambadilisha kutoka binadamu na kuwa malaika, akawa malaika mkuu Metatron.

Malaika mkuu Metatron ndiye kiongozi wa malaika wote waliopo mbinguni. Kiitifaki , Anaanza Mwenyezi-Mungu , anafuatia Metatron halafu ndio wanafuatia malaika wengine waliopo mbinguni. Malaika mkuu Metatron amehusika sana katika kumfunulia binadamu siri za malaika wengine waliopo mbinguni na kutufanya binadamu tuwe na ufahamu kuhusu mambo ya mbinguni.

Neema nyingi na sifa za kiroho alizo nazo malaika mkuu Metatron zinafanana na Bikra Maria , mama aliye mzaa Yesu Kristo.

Metatron is one of the most powerful archangels, acting as the celestial scribe to the Book of Life, which keeps track of all the choices made by earthly and divine beings. Metatron also serves as the guide to humanity, is the speaker for God, and is granted the right to be in the presence of God .
Atlast someone speak about Book of Henoki
 
Huyu malaika anaitwa malaika mkuu Metatron .

Enoch wakati alipokuwa akiishi duniani , aliishi maisha ya kumpendeza Mungu , alitembea na Mungu kila wakati , pia hakutenda dhambi wakati wote alipokuwa akiishi duniani .

Alipokuwa na umri wa miaka 365 , Mungu alimpaliza mbinguni bila kufa . Alipofika mbinguni, Mungu akambadilisha kutoka binadamu na kuwa malaika, akawa mninaalaika mkuu Metatron.

Malaika mkuu Metatron ndiye kiongozi wa malaika wote waliopo mbinguni. Malaika mkuu Metatron amehusika sana katika kumfunulia binadamu siri za malaika wengine waliopo mbinguni na kutufanya binadamu tuwe na ufahamu kuhusu mambo ya mbinguni.

Neema nyingi na sifa za kiroho alizo nazo malaika mkuu Metatron zinafanana na Bikra Maria , mama aliye mzaa Yesu Kristo.

Metatron is one of the most powerful archangels, acting as the celestial scribe to the Book of Life, which keeps track of all the choices made by earthly and divine beings. Metatron also serves as the guide to humanity, is the speaker for God, and is granted the right to be in the presence of God .
Ninamzungumzia malaika mwenye sura ya Mungu na mwenye uwezo kusamehe dhambi.exdous.
Behold, I send an Angel before you to keep you in the way and to bring you into the place which I have prepared. Beware of Him and obey His voice; do not provoke Him, for He will not pardon your.

isaih. In all their affliction he was afflicted, and the angel of his presence saved them: in his love and in his pity he redeemed them; and he bare them, and carried them all the days of old.
 
(Isaiah 63:10)

Inasema, wakamhuzumisha Roho yake Mtakatifu, akageuka ,akapigana nao.

Ndipo ujue Mungu ndiye aliyewaongoza wanavwa Israel, Malaika wakitekeleza Order ya Mungu,

Musa akisaidiwa kutenda miujiza na Mungu mwenyewe kupitia Roho mtakatifu.

Ndipo uelewe, hapo NENO hajatajwa kama Malaika Wala kulinganishwa na Malaika.
 
"wakamhuzumisha Roho yake Mtakatifu, akageuka ,akapigana nao"
Huyo Roho yake iliyohuzunishwa ni nani na huko nyuma tunaona Mungu kamtuma malaika mwenye sura yake na aliyenauwezo wa kusamehe makosa?.

Sasa soma 1 wakoritho wa kwanza 10:4.
Inasema:
wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
NB:
Ukisoma verse fulan ya biblia na usiielewe ama ukaielewa na ukata kuielewa zaidi soma vile vimsitali vya pembeni.
 
Ni Kweli kabisa,

MWAMBA huo ndiye Kristo Yesu.

Na Huyo Roho MTAKATIFU ndiye Roho wa Yesu.

Sasa uelewe Malaika alikuwa na mission yake,

ROHO MTAKATIFU alikuwa na mission yake.

Yesu Si Malaika. Na hakuwahi kuwa Malaika.

YESU ndiye Mungu.
 
Back
Top Bottom