Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Kwa nini unamuweka bibi yangu hapa?

Kwa nini unakuwa emotional katika hoja ya kimantiki ya kutafuta fact?
Maana una uhakika kabisa kama ni hadithi za kutunga lazima atakuwa alizitunga mtu wako wa karibu hasa hasa huyo niliyemtaja
 
Hakuna popote huyo aketiye katika KITI Cha enzi amefananishwa na Malaika,

Lete evidence.

Neno ndiye Mungu huyo huyo.
Neno sio Mungu,bali mwa na Mungu.
huyu malaika mwenye sura ya Mungu na mwenye uwezo wa kusamehe dhambi ndiye Neno.
Huyu ndiye aliyewato wana wa israeli Misri na ndiye aliyemtokea Mussa kwenye kijinga cha Moto.

Exodus 20: 23.behold I send an Angel before you to keep you in the way and to bring you into the place which I have prepared. Beware of Him and obey His voice; do not provoke Him, for He will not pardon your transgressions; for My name is in Him. .
huyo mailaka anauwezo kusamehe dhambi kwa mujibu wa Exodus.

huyu mailaka na ana sura bwana.
Katika harakati zote za wana wa israeli toka Misri neno ndiyo alisimamia show.

isaiah 63:9:In all their affliction he was afflicted, and the ANGEL OF HIS PRESENCE saved them: in his love and in his pity he redeemed them; and he bare them, and carried them all the days of old.
 
Kutukana nako kutaonesha hicho kitabu ni cha kutungwa na watu tu.

Kwa sababu Mungu wao angekuwapo, isingewezekana mtu yeyote kumtukana yeyote.
Yaani hicho ulichojibu ndo niliuliza kwenye soma Post #28..
Ila nilichokipata Ni matusi mfulilizo ..
Sasa nashangaa Mungu ndo alifundisha kwamba watu wakishindwa kutetea watukane
 
Ila huku kwenye agano jipya ametajwa kuwa na mamlaka kuliko hao malaika...
Hata kwenye agano la kale uwezo wake ni ule ule.
Anasujudiwa,anauwezo wa kusamehe dhambi nk.
Hakuna mwenye huo uwezo ila na Mungu.

Back
Top Bottom