TheGreatGenius
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 260
- 726
Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa” kwenda syllable sita “Mi-xx-ba-i-ya-s”
Huyu mwekezaji atafute watu wengine wa marketing, hilo sio jina bibi kizee wa kijijini anaweza kutamka, abadili jina kabla hajaua brand nzima kwenye soko kwa sababu za kipuuzi kama hizi